The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Haina haja ya kwenda kulipia Cheka TuTanzania inaongoza kwa uchumi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bonyeza # kupata hivi vichekesho
Wazoefu wa maeneo hayo watujuze sisi wapita njiaHivi kabla ya kufika Mandela Road huku Chamazi Chamazi kuna barabara kubwa ya kuchepuka kutoka Kilwa Road kuingia Dar katikati?
Hapo palitakiwa kuwa na ringroad kubwa ya kupita Kigamboni, Chamazi, Airport, Kinyerezi mpaka kuunga Morogoro Road, kukatiza Mabwepande huko mpaka Tegeta.
Yani mtu akiwa anatoka Lindi anakwenda Tegeta awe hahitaji hata kufika Mandela Road achepuke na barabarahiyo kutoka Chamazi afike mpaka Tegeta.
Pamoja na kuwa upo abroad ila unaijua vyema dar..Hivi kabla ya kufika Mandela Road huku Chamazi Chamazi kuna barabara kubwa ya kuchepuka kutoka Kilwa Road kuingia Dar katikati?
Hapo palitakiwa kuwa na ringroad kubwa ya kupita Kigamboni, Chamazi, Airport, Kinyerezi mpaka kuunga Morogoro Road, kukatiza Mabwepande huko mpaka Tegeta.
Yani mtu akiwa anatoka Lindi anakwenda Tegeta awe hahitaji hata kufika Mandela Road achepuke na barabarahiyo kutoka Chamazi afike mpaka Tegeta.
Kwa kweli mnahitaji kupanuliwaPamoja na kuwa upo abroad ila unaijua vyema dar..
Vibarabara vya hapo mbagaraaaa ni vyembamba sanaa kiasi kwamba zilitakiwa kupanuliwa ziwe Pana
Hapa nipo ILALA muda huu nataka niende kariakoo one time then niende KIJICHI Nako kaa Sasa hapa naona sitoboiii
Hii njia ya kilwa road kuanzia mzinga mpaka mkuranga ni nyembamba sana huko kiparang'anda kikungo ni road nyembamba
Ukienda chamazii shidaaaaa tupuu hapo round about rangi 3 ni shida tupuu barabara finyu bajaji, pikipiki magari ni mengi mnoo
Hauzijui njia ww tuulize sisi madereva wa bajajiPamoja na kuwa upo abroad ila unaijua vyema dar..
Vibarabara vya hapo mbagaraaaa ni vyembamba sanaa kiasi kwamba zilitakiwa kupanuliwa ziwe Pana
Hapa nipo ILALA muda huu nataka niende kariakoo one time then niende KIJICHI Nako kaa Sasa hapa naona sitoboiii
Hii njia ya kilwa road kuanzia mzinga mpaka mkuranga ni nyembamba sana huko kiparang'anda kikungo ni road nyembamba
Ukienda chamazii shidaaaaa tupuu hapo round about rangi 3 ni shida tupuu barabara finyu bajaji, pikipiki magari ni mengi mnoo
Ipo unapitia Chanika, Pugu, Kinyerezi, Magufuli Bus Stand, Goba, Madale, Wazo Hill, then Tegeta. Tatizo Watz wanapenda kupita City Centre ili wakashangae!Hivi kabla ya kufika Mandela Road huku Chamazi Chamazi kuna barabara kubwa ya kuchepuka kutoka Kilwa Road kuingia Dar katikati?
Hapo palitakiwa kuwa na ringroad kubwa ya kupita Kigamboni, Chamazi, Airport, Kinyerezi mpaka kuunga Morogoro Road, kukatiza Mabwepande huko mpaka Tegeta.
Yani mtu akiwa anatoka Lindi anakwenda Tegeta awe hahitaji hata kufika Mandela Road achepuke na barabara hiyo kutoka Chamazi afike mpaka Tegeta.
Ulikuja dar lini? Mimi Kila siku nipo town ndio maisha yangu.Hauzijui njia ww tuulize sisi madereva wa bajaji
Ukiwa unatokea Kusini na hautaki kupita City Centre kwenda Tegeta kuna njia ya kupita Chanika, Pugu, Kinyerezi, Magufuli, Goba, Madale Wazo Hill then Tegeta na haina foleni kabisa na ni lami tupu.Ulikuja dar lini? Mimi Kila siku nipo town ndio maisha yangu.
Wapi nisipo pajua embu orodhesha izo njia mpya...
Utasema ile ya buza kwa mparange kuja mpaka njia panda ya nzasa au uje utokee kwa mbiku
Kuna yakupitia TAIFA hapo mataa upite nyuma nyuma mpaka temeke utokezee ama Aziz ally au mtongani..
Mkuu Mbagala ipi iyo unataka kunielezea???
Yes ipo nafikiri ile inayopita gari za Dondwe na za Chanika toka Mbagala Rangi3.Ipo unapitia Chanika, Pugu, Kinyerezi, Magufuli Bus Stand, Goba, Madale, Wazo Hill, then Tegeta. Tatizo Watz wanapenda kupita City Centre ili wakashangae!
Hufiki Mbagala Rangi Tatu ni maeneo ya Azam huko tu unakata kuelekea Chanika.Yes ipo nafikiri ile inayopita gari za Dondwe na za Chanukah toka Mbagala Rangi3.
Tatizo la hapo mlima wa kutoka Kongowe, Mto Mzinga kufika Rangi 3.
Labda watu wapite ya Kongowe, Kigamboni, kisha City Center au kutokea Kurasini hadi Taifa.
njia ipo na kama kumbukumbu zangu zipo vizuri hata jokate (skumbuki alikua na cheo gani wakati huo) alitangaza barabara ikikamilika itasaidia kupunguza foleni ya kilwa roadHivi kabla ya kufika Mandela Road huku Chamazi Chamazi kuna barabara kubwa ya kuchepuka kutoka Kilwa Road kuingia Dar katikati?
Hapo palitakiwa kuwa na ringroad kubwa ya kupita Kigamboni, Chamazi, Airport, Kinyerezi mpaka kuunga Morogoro Road, kukatiza Mabwepande huko mpaka Tegeta.
Yani mtu akiwa anatoka Lindi anakwenda Tegeta awe hahitaji hata kufika Mandela Road achepuke na barabara hiyo kutoka Chamazi afike mpaka Tegeta.
kijichi hii serikali hela ilipiga hasa hii barabara ya chekechea - zakhiem/kijichiPamoja na kuwa upo abroad ila unaijua vyema dar..
Vibarabara vya hapo mbagaraaaa ni vyembamba sanaa kiasi kwamba zilitakiwa kupanuliwa ziwe Pana
Hapa nipo ILALA muda huu nataka niende kariakoo one time then niende KIJICHI Nako kaa Sasa hapa naona sitoboiii
Hii njia ya kilwa road kuanzia mzinga mpaka mkuranga ni nyembamba sana huko kiparang'anda kikungo ni road nyembamba
Ukienda chamazii shidaaaaa tupuu hapo round about rangi 3 ni shida tupuu barabara finyu bajaji, pikipiki magari ni mengi mnoo
mkuu hivi hii ya kwa mbiku ilishakamilika?Ulikuja dar lini? Mimi Kila siku nipo town ndio maisha yangu.