Mnaotumia barabara ya Kilwa kuingia Dar kuna foleni kali iliyosababishwa na ajali

Mnaotumia barabara ya Kilwa kuingia Dar kuna foleni kali iliyosababishwa na ajali

kijichi hii serikali hela ilipiga hasa hii barabara ya chekechea - zakhiem/kijichi

kama kawaida yao majaliwa anakuja mfokea mkurugenzi mwisho wa mradi kwenye kukagua

hii nchi script ni ile ile
Balaa sana hasa hapo kibonde majii mpaka zakiem Mbagala INASEMWA Kuna bomba la gesi limepita ni kipande korofii SANAAAAAA
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Ukiwa unatokea Kusini na hautaki kupita City Centre kwenda Tegeta kuna njia ya kupita Chanika, Pugu, Kinyerezi, Magufuli, Goba, Madale Wazo Hill then Tegeta na haina foleni kabisa na ni lami tupu.
Haujapita hivi karibuni kuanzia kisewe mpaka msongola bado haija wekwa lami

Angekuwepo JPM INGEKUA imekamilika ila juzi kati nilienda chanika kupitia hiyo njia
 
Hapana ni njia za nyuma nyuma Kuna lami ya zege..ni kama divertion road

All in all kule Kuna foleni sana watu wameongezeka KWA kasi mno
duh, watu wanaoandaa hii mipango sjajua hua wanatafakari kwa kina na utaalamu walionao

Balaa sana hasa hapo kibonde majii mpaka zakiem Mbagala INASEMWA Kuna bomba la gesi limepita ni kipande korofii SANAAAAAA
watafute solution tu pale hili bomba linakosesha miundombinu
 
Back
Top Bottom