Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 20,877 Reaction score 43,633 Sep 25, 2025 #21 Lax said: mkuu hivi hii ya kwa mbiku ilishakamilika? Click to expand... Hapana ni njia za nyuma nyuma Kuna lami ya zege..ni kama divertion road All in all kule Kuna foleni sana watu wameongezeka KWA kasi mno
Lax said: mkuu hivi hii ya kwa mbiku ilishakamilika? Click to expand... Hapana ni njia za nyuma nyuma Kuna lami ya zege..ni kama divertion road All in all kule Kuna foleni sana watu wameongezeka KWA kasi mno
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 20,877 Reaction score 43,633 Sep 25, 2025 #22 Lax said: kijichi hii serikali hela ilipiga hasa hii barabara ya chekechea - zakhiem/kijichi kama kawaida yao majaliwa anakuja mfokea mkurugenzi mwisho wa mradi kwenye kukagua hii nchi script ni ile ile Click to expand... Balaa sana hasa hapo kibonde majii mpaka zakiem Mbagala INASEMWA Kuna bomba la gesi limepita ni kipande korofii SANAAAAAA
Lax said: kijichi hii serikali hela ilipiga hasa hii barabara ya chekechea - zakhiem/kijichi kama kawaida yao majaliwa anakuja mfokea mkurugenzi mwisho wa mradi kwenye kukagua hii nchi script ni ile ile Click to expand... Balaa sana hasa hapo kibonde majii mpaka zakiem Mbagala INASEMWA Kuna bomba la gesi limepita ni kipande korofii SANAAAAAA
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Sep 25, 2025 #23 Hali ni tete bora sisi tunaokaa Kijijini
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 20,877 Reaction score 43,633 Sep 25, 2025 #24 UCD said: Ukiwa unatokea Kusini na hautaki kupita City Centre kwenda Tegeta kuna njia ya kupita Chanika, Pugu, Kinyerezi, Magufuli, Goba, Madale Wazo Hill then Tegeta na haina foleni kabisa na ni lami tupu. Click to expand... Haujapita hivi karibuni kuanzia kisewe mpaka msongola bado haija wekwa lami Angekuwepo JPM INGEKUA imekamilika ila juzi kati nilienda chanika kupitia hiyo njia
UCD said: Ukiwa unatokea Kusini na hautaki kupita City Centre kwenda Tegeta kuna njia ya kupita Chanika, Pugu, Kinyerezi, Magufuli, Goba, Madale Wazo Hill then Tegeta na haina foleni kabisa na ni lami tupu. Click to expand... Haujapita hivi karibuni kuanzia kisewe mpaka msongola bado haija wekwa lami Angekuwepo JPM INGEKUA imekamilika ila juzi kati nilienda chanika kupitia hiyo njia
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,297 Reaction score 18,156 Sep 25, 2025 #25 Dr am 4 real PhD said: Hapana ni njia za nyuma nyuma Kuna lami ya zege..ni kama divertion road All in all kule Kuna foleni sana watu wameongezeka KWA kasi mno Click to expand... duh, watu wanaoandaa hii mipango sjajua hua wanatafakari kwa kina na utaalamu walionao Dr am 4 real PhD said: Balaa sana hasa hapo kibonde majii mpaka zakiem Mbagala INASEMWA Kuna bomba la gesi limepita ni kipande korofii SANAAAAAA Click to expand... watafute solution tu pale hili bomba linakosesha miundombinu
Dr am 4 real PhD said: Hapana ni njia za nyuma nyuma Kuna lami ya zege..ni kama divertion road All in all kule Kuna foleni sana watu wameongezeka KWA kasi mno Click to expand... duh, watu wanaoandaa hii mipango sjajua hua wanatafakari kwa kina na utaalamu walionao Dr am 4 real PhD said: Balaa sana hasa hapo kibonde majii mpaka zakiem Mbagala INASEMWA Kuna bomba la gesi limepita ni kipande korofii SANAAAAAA Click to expand... watafute solution tu pale hili bomba linakosesha miundombinu