Mnaotumia bidhaa za Apple® Mnapigwa sana. Sijui hata mnavyotoa hela mnafikiriaga nini?

Mnaotumia bidhaa za Apple® Mnapigwa sana. Sijui hata mnavyotoa hela mnafikiriaga nini?

Mimi hata Sumsung nanunua used, ambayo ni almost mpya kwa bei rahisi. Simu mpya hainisaidii chochote, matumizi ni yale yale.
 
Broo usinafananaishe magari na simu, hapa tunaongelea simu.

Apple walichofanikiwa ni kuwateka wateja wao kifikra, we chunguza tuu jinsi wanavoitetea iPhone, almost 90% watarudia point zilezile, maana yake nn?? Wamekaririshwa

Product za iPhone zina ubora ila haimaanishi kwamba zinapita ubora wa android, mbona vitu viko wazi sema tuu hufatilii, asaiv innovation anazofanya apple asaiv Samsung alizifanya miaka ya nyuma sema tuu hatufatilii mambo.

Kuhusiana na ubora, nitakupa mfano, rafiki yangu kanunua iPhone 13 muda sawa na mm nilivonunua simu yangu mpya android, hadi sasa yeye kabadilisha betri mm bado betri langu linadunda na matumizi ni yaleyale.

Tukija kweny processor, hadi sasa kwa matoleo latest chip ya android ndo bora kuliko iPhone.

Tukije kweny camera, still Samsung S24 na Sony zina ubora wa camera kuliko iPhone.

Point zenu mnazotumia ni the fact kwamba iPhone ina OS system ya kipekee ambayo haishei na simu zingine point ambayo haina nguvu kwa sababu android operating system yake kutumika na simu nyingi haiifanyi iwe dhaifa, na iPhone kutumia OS yake haiifanyi iwe bora kwasababu inatumika na iPhone tuu, kwanza hadi sasa QuickShare ya Samsung ishakuwa proven ina speed kuliko AirDrop, sasa mi sijui mnachoringia ni nn??
Sony hazina kamera kali kushinda iPhone
 
Sio mbaya, ila nachozungumzia iPhone wanatengeneza processor zao wenyewe.
Mkuu Samsung Galaxy S24 (plain), international version inatumia chipset ya Samsung Exynos 2400 na iPhone 15 Pro inatumia Apple A17 Pro. Hii screen shot ya GSMarena wamezitest hizo chipset mbili ya Apple imeshinda kwenye CPU, ya Samsung imeshinda kwenye GPU kwa hiyo hamna bora kuliko mwenzake hapa.

Achilia mbali hivyo, Samsung yuko vizuri kushinda Apple linapokuja suala la ubora wa simu kuanzia hardware hadi software. Software ya Apple sanasana inakupa stability tu. Labda ba security ambayo probably hutoitumia. Ila One UI inakupa stability, features nyingi na endless customization ambayo huwezi pata kwenye Apple, plus Samsung DeX pia ni next level
Screenshot_2024-06-12-07-29-37-665_com.microsoft.emmx.png

Achilia mbali Samsung, tuje kwa Mchina. Unaifahamu vivo X100 Ultra? Hii simu iko vizuri kushinda iPhone 15 Pro Max karibia kila idara ila hautaona bei yake ikifika milioni 4
 
Mkuu Samsung Galaxy S24 (plain), international version inatumia chipset ya Samsung Exynos 2400 na iPhone 15 Pro inatumia Apple A17 Pro. Hii screen shot ya GSMarena wamezitest hizo chipset mbili ya Apple imeshinda kwenye CPU, ya Samsung imeshinda kwenye GPU kwa hiyo hamna bora kuliko mwenzake hapa.

Achilia mbali hivyo, Samsung yuko vizuri kushinda Apple linapokuja suala la ubora wa simu kuanzia hardware hadi software. Software ya Apple sanasana inakupa stability tu. Labda ba security ambayo probably hutoitumia. Ila One UI inakupa stability, features nyingi na endless customization ambayo huwezi pata kwenye Apple, plus Samsung DeX pia ni next levelView attachment 3015111
Achilia mbali Samsung, tuje kwa Mchina. Unaifahamu vivo X100 Ultra? Hii simu iko vizuri kushinda iPhone 15 Pro Max karibia kila idara ila hautaona bei yake ikifika milioni 4
Naubaliana na wewe japo kuna sehemu nyingi za ushindanisha hizo processor, sio katika cpu na gpu pekee.
 
Nimechunguza na nimetumia zote, Sony clears.

Na Apple wanatumia Sony's camera sensors for almost a decade now, what are you trying to say??
Sijasema iPhone hazitumii sensor za Sony. Nimesema kamera za Sony (yani za kwenye simu za Sony) hazifikii ubora kamera za iPhone
Sasa kumuuzia mtu sensor ndio kumpita kwenye ubora wa picha ama. Xiaomi 14 Ultra inatumia sensor za Sony pia ila ukifananisha picha hiyo Sony Xperia 1 VI haiingii hata chembe
 
Back
Top Bottom