kwahiyo wanaume wasumbufu PM?au mnajiweka tu quality mana hata wanawake wasumbufu tu .
ok basi na wewe wakikupm waambie "jamani mi shosti mwenzenu"
Mtu unapost threads ukijifanya mwanamke,ukianza kuchat naye inbox anakuambia "oya mwana mi dume ila natumia ID ya kike tu" au anaomba ushauri wa kike" wakati kapost anatafuta bwana au sijui anawashwa nini"...........kuna wengine madume mnachat mambo ya msingi,reply za majukwaani na PM kumbe wanawake.
Chitchat ndo mmezidi,mna majina matam ya kike kumbe mengine ya wanaume,halafu wanaume wengine wanajiita majina ya kike.....jibadilisheni bhana .
Ndo hapo thatha!
Ndo hapo thatha!