Niulize tu Lady doctor.
Afu umemuona hapo juu...?? kaja baada ya kumtaja.. dadadeeki... akiomba urafiki na wewe kuwa makini usikubali mkabaki wawili peke yenu, atakumimba....
aulizwe manoah,maana mie sitaaminika hapa
we niambie tu mimi nitakuamini
aulizwe manoah,maana mie sitaaminika hapa
Ndo hapo thatha!
hukuwepo kipindi hiko laiti ungekuwepo.. ....
Mara ya kwanza kupewa ban na ya mwisho ni kwa sababu ya hiki kimary.
Ahsante Filipo maana ban hata dakika kumi hazikufika nikaachiwa.
Alitusababishia vifungo kinoma kinoma mpaka siku alipolipuliwa humu na mods

atiii.....!? Kumbe yalikuwa hayo?
atiii.....!? Kumbe yalikuwa hayo?
Pole sana mshikaji!Mtu unapost threads ukijifanya mwanamke,ukianza kuchat naye inbox anakuambia "oya mwana mi dume ila natumia ID ya kike tu" au anaomba ushauri wa kike" wakati kapost anatafuta bwana au sijui anawashwa nini"...........kuna wengine madume mnachat mambo ya msingi,reply za majukwaani na PM kumbe wanawake.
Chitchat ndo mmezidi,mna majina matam ya kike kumbe mengine ya wanaume,halafu wanaume wengine wanajiita majina ya kike.....jibadilisheni bhana .
Mtu unapost threads ukijifanya mwanamke,ukianza kuchat naye inbox anakuambia "oya mwana mi dume ila natumia ID ya kike tu" au anaomba ushauri wa kike" wakati kapost anatafuta bwana au sijui anawashwa nini"...........kuna wengine madume mnachat mambo ya msingi,reply za majukwaani na PM kumbe wanawake.
Chitchat ndo mmezidi,mna majina matam ya kike kumbe mengine ya wanaume,halafu wanaume wengine wanajiita majina ya kike.....jibadilisheni bhana .
hukuwepo kipindi hiko laiti ungekuwepo.. ....
Mara ya kwanza kupewa ban na ya mwisho ni kwa sababu ya hiki kimary.
Ahsante Filipo maana ban hata dakika kumi hazikufika nikaachiwa.
Alitusababishia vifungo kinoma kinoma mpaka siku alipolipuliwa humu na mods
nimemuona ndio nataka anidhibitishie......!!!!