hahahaaa, alimfunua baada ya ndoa?
mi kuna siku mtu anadhani mie dume........
kaona tangazo mwanamke anahitajika wa kuolewa
nashangaa PM mtu ananiomba mawasiliano yuko tayar kuwa mke!!!!!!!!
I was like what!!!!!!!:shock::shock::shock:
kabla..
Aaaaafu wewe!!!!?
Filipo wiki hii nakula raha tupu, yaani kila jioni kunakuwa na mechi Ngusero kati ya watoto wa Matui, Dos dos, na Kiteto...... Burudani yangu iko pale totoz zao wanavyoshangilia na kurushiana maneno waweza cheka hadi mbavu zichomoke....! Kijijini raha sana,, fanya shaa shaa ukuje bana.

Nipo Arusha kuna kiwanja kipya mitaa ya Sakina nataka kinizoee!!!

Jamani. .......
mi mwenyewe dume huwa nawachora tuu, cc Asprin, watu8, @figaniga, sweetlady, Caroline Danzi....... etc