Mnaotumia ID'S zenye utata wa jinsia mnaboa mbaya.

we niambie tu mimi nitakuamini

hukuwepo kipindi hiko laiti ungekuwepo.. ....
Mara ya kwanza kupewa ban na ya mwisho ni kwa sababu ya hiki kimary.
Ahsante Filipo maana ban hata dakika kumi hazikufika nikaachiwa.
Alitusababishia vifungo kinoma kinoma mpaka siku alipolipuliwa humu na mods
 
Last edited by a moderator:
aulizwe manoah,maana mie sitaaminika hapa

Ndo hapo thatha!

Ila tukikutana kule jukwaa la stress mwandiko wako huwa unanishwawishi niamini kifanyio chako ni kile cha kuning'nia....!!!

Hahahah halafu nikikumbuka lile advataizi la "Nikaribisheni mimi binti wa Kinyakyusa" basi huwa nakuwa mahututi wa breini konkasheni...

Tafwazali ning'ate sikio gwa nkajha hata kule PM nitashukuru...
 

atiii.....!? Kumbe yalikuwa hayo?
 
Last edited by a moderator:

You're welcome dear!
 
Pole sana mshikaji!
 
mtumishi
inaweza kuwa kweli au uongo
njoo na mifano kidogo hapa ili tuweke mambo hazarani
 

alikuwa anafanyaje amu,,,,,,
namie enzi hizo sikuwepo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…