Mnaotumia ID'S zenye utata wa jinsia mnaboa mbaya.

Ooh chezea wewe... afu akikuwa anajifanya mtu wa bible.... stevoh akajua amepata kakuku ka baba mchungaji kuja kugundua ni gumegume akaanza kuiogopa chit chat hadi leo...

acha tu ila kwa sasa bahari imetulia...
 
Last edited by a moderator:
mi kuna siku mtu anadhani mie dume........
kaona tangazo mwanamke anahitajika wa kuolewa
nashangaa PM mtu ananiomba mawasiliano yuko tayar kuwa mke!!!!!!!!

I was like what!!!!!!!:shock::shock::shock:

hahahaaa......... Hizi pm hizi zinaficha meeeengi, laiti zingekuwa wazi ningecomment ''mu'wowe' then umpeleke kijijiniakachunge ng'ombe wa babu yako''
 
Aaaaafu wewe!!!!?

Filipo wiki hii nakula raha tupu, yaani kila jioni kunakuwa na mechi Ngusero kati ya watoto wa Matui, Dos dos, na Kiteto...... Burudani yangu iko pale totoz zao wanavyoshangilia na kurushiana maneno waweza cheka hadi mbavu zichomoke....! Kijijini raha sana,, fanya shaa shaa ukuje bana.
 
Last edited by a moderator:

Nipo Arusha kuna kiwanja kipya mitaa ya Sakina nataka kinizoee!!!
 

Jamani. .......
 
Last edited by a moderator:
Wanafanya hivyo kuepuka msongamano na usumbufu
 
ID zenye utata wa kijinsia ndio kama zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…