Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
wakati ulishakaguliwa kwa msaada wa babu ODM
shemeg unanikosea adabu. ntakusemea kwa dada. lol
Hehehe...bora umenistopisha maana nilikuwa nataka niweke picha za ukaguzi
aaah shem hizo sio mimi labda pacha wangu. ujue tupo mapacha eeh
Mtu unapost threads ukijifanya mwanamke,ukianza kuchat naye inbox anakuambia "oya mwana mi dume ila natumia ID ya kike tu" au anaomba ushauri wa kike" wakati kapost anatafuta bwana au sijui anawashwa nini"...........kuna wengine madume mnachat mambo ya msingi,reply za majukwaani na PM kumbe wanawake.
Chitchat ndo mmezidi,mna majina matam ya kike kumbe mengine ya wanaume,halafu wanaume wengine wanajiita majina ya kike.....jibadilisheni bhana .
ID zenye utata wa kijinsia ndio kama zipi?
mmmh!! hivi kumbeee...sasa mbona hujawahi nionesha huyo shemeg pacha
tatizo shem unajificha sana kam manyonyo ya jogoo.
wakati ulishakaguliwa kwa msaada wa babu ODM
Hahah Husninyo tena wewe DUME LA MBEGU! hahahahaha
Kipipi ni yuleyule, juzi jana na leo.
Kinachobadilika ni avatar tu.
:coffee::coffee:mi mwenyewe dume huwa nawachora tuu, cc Asprin, watu8, @figaniga, sweetlady, Caroline Danzi....... etc
:clap2::clap2:wakati ulishakaguliwa kwa msaada wa babu ODM
mi naipenda ile avatar yako iliyopita,ulikua cute lol
Dah . . . uachege uongo basi chalii yangu!
Ungeipenda ungeicheka vile??
katika kutoa hitimisho la thread hii.napenda kuwashukuru wote mliochangia kwa namna moja ama nyingine.
pia napenda kutumia fursa hii kama weledi wa kuhitimisha kilichopo kwa wana cc na Marry Hunbig . marry hunnbig najua unapenda kuja kujumuika na wanacc but unashindwa pa kuanzia,nikiwa kama kiongozi wa mpito kwa sasa Baba V amelazwa nje ya nchi kwa ugonjwa wa kuharisha ama kwa jina lingine kipinduapindua. marry hunbig kama utakuwa interested kuendelea na wana cc kama ilivyokuwa waombe msamaha na nina hakika watakusikiliza.nikiwa kama kiongozi wa mpito mimi ni kiongozi wa wanacc walio huru na wafungwa,wezi na majambazi,na nipo katika wadhifa huu ili kuleta umoja na si kutengana.waswahili wasema umoja ni nguvu.Je ni nani kati yetu ambaye hajawahi kukosea?la hasha,wote tumekosea na tumesamehewa kwa namna moja ama nyingine.
Napenda kuitumia fursa hii kama weledi kutoa maamuzi mazito kutokana na hii thread kama ifuatavyo.
1.kwa wote watakaoonyesha kutumia id's za jinsia tofauti na kusababisha upotevu wa muda kwa mwana cc natangaza rasmi jela ya CC.
2.KWA wote mlioleta mvurugiko ktk CC MTAKUTANA NA KIFUNGO CHA CC ama la muombe msamaha maramoja
3.Katika kuleta umoja na mshikamano tutaunda kamati ya mpito ili majukumu ya mwenyekiti yapunguzwe na wapewe wachapakazi mashuhuri CC
nashukuru kwa weledi mliouonyesha wa kunisikiliza.
nawatakia CC njema na kila la kheri
Mungu ibariki Africa,
Mungu ibariki Tanzania
heheh ile avatar ilikua inanifanya nikupende tu kama dudu baya