Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

Camon 19 sasa imetoka camon 20 Tusio na makuu simu zetu tecno

kama umaskini ni kutumia tecno basi mimi ni kapuku namba 1 JF hii
Tatizo ni yy mwenyewe na ubahiri wake we unanunua tecno ya laki na nusu dukani au kwamtu elf60 unategemea nini?? Siku nunua tecno angalau ya kuanzia laki3 kuendelea we Simu ina ram mb 500 hata gb1 au 2 hata 3 haijafika unategemea nini??? ina rom au internal gb8 hata 16 au 32 au 64haijafika nunua simu yenye ram kuanzia 4 na internal 64 uone mi hapa niko na camon 20 pro ina ram16 na rom256 chip ya Helio G99 fast changing ya watt33 camera mp64 kioo ni amoled ni moto wa kuotea mbali.
 
Back
Top Bottom