Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

Jf watu wanajifanya wana maisha mazuri..... Ukitembea barabarani unaona watu wanachoma mahindi, wengine wanatembeza karanga but wakija huku jf wanavimba kinoma. Yaani muuza karanga nae AMESHUPAZA SHINGO "Tecno ni simu ya kithenge"
Mkuu embu acha makasiriko.
 
ni kwa sababu samsung ya miak 10 nyuma unamkuta nayo mtu bado anaitumia leo

vip tuzungumzie tecno ya miaka 10 nyum kuna unae mkuta nayo

binafsi niliwahi tumia tecno kadhaa mwaka 2013 mapa 2015
tecno P3, tecno N3 na tecno boom J8

tecno booom J8 nipo nayo apa na niliinunua 2016 lakin hapa haiwaki ikiwaka inaandika tecno bas haiendelei tena

lakin mwaka huo huo 2016 kuna mtu alinunua samsung J1 na yupo nayo mpaka leo na ina function vizuri tu

Sasa hapo utalinganisha durability ya samsung na tecno?

Infact ukiwa mtumiaj wa tecno inakubidi uwe Mtumwa wao wa kununua sim kila baad ya miaka miwili maan itakua haina ubora tena
Hivi mtu inakuaje unaingia mfukoni unanunua tecno, itel, infinix, n.k unless uwe mwanafunzi au ndo smart yako ya kwanza.

Heri Samsung ya laki mbili kuliko tecno ya laki 3 au 4.
 
Hivi mtu inakuaje unaingia mfukoni unanunua tecno, itel, infinix, vivo n.k unless uwe mwanafunzi au ndo smart yako ya kwanza.

Heri Samsung ya laki mbili kuliko tecno ya laki 3 au 4.
Kwani unaumia ukiwa wapi?
 
Hivi mtu inakuaje unaingia mfukoni unanunua tecno, itel, infinix, vivo n.k unless uwe mwanafunzi au ndo smart yako ya kwanza.

Heri Samsung ya laki mbili kuliko tecno ya laki 3 au 4.
Hadi vivo unaidiss mkuu??
 
Jf watu wanajifanya wana maisha mazuri..... Ukitembea barabarani unaona watu wanachoma mahindi, wengine wanatembeza karanga but wakija huku jf wanavimba kinoma. Yaani muuza karanga nae AMESHUPAZA SHINGO "Tecno ni simu ya kithenge"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usisahau pia kwamba Jamiiforums kila mtu ana LANDCRUISER.
 
Tatizo lenu mnaujua ukweli ila mmekariri au hamjaelewa mada kwasababu tu mmeona mstari unaosema “kuna tecno bora kuliko Samsung”

Unaweza kukuta mtu anatumia iphone 6 lakini anaponda balaa Tecno spark go 2022......... yaani kwake brand ya Tecno ni kichefuchefu

Hapa hatulinganishi simu kwa miaka iliotoka(Samsung atashinda) hapa watu wanaongelea kwamba hakuna Tecno inayofaa kutumika wakati wanatumia Samsung za miaka ya nyuma na wanajiona bora kuliko Tecno za kisasa zilizo boreshwa

Mleta mada kaleta sifa za Tecno phantom wakati tupo mwaka 2023, ndio tukamwambia atafute hata spark za sasa ni bora kuliko midrange za zamani za sumsang....... hamtaki kabisa kusikia huu ushauri

Kwenu samsung hata miaka 10 nyuma itabaki kuwa bora kuliko Tecno yoyote ile
Ujinga wa waswahili utakuchosha.

Tumia simu unayoona inakustahili.

Tunawajua hawa waigizaji wa mitandaonii mashauzi mengi kumbe wachoma mahindi.
 
Ni techno toleo gani?? Kulalamika huku huelezi ni toleo gani ni sawa na ujinga maana unasaidiwaje sasa?
 
Back
Top Bottom