Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

Status
Not open for further replies.
Niwaambie kitu wanangu,mashariti ya ngende ni magumu sana. Unaweza ukaambiwa usiwe unavaa pamba kali,usipende kuhonga au kupenda madem pia unaweza pewa shariti la kuuliwa nguvu za kiume. #ngendePagumu!
 
kawaida sana mkuu, bora utajiri na hayo masharti kuliko manyanyaso ..na ziada tangu umewavua chupi wanawake je ukwasi wako umeongezeka kwa kiwango gani kuna nini cha ziada pale katikati ya miguu ya mwanamke
 
Attachments

  • images (3).jpg
    images (3).jpg
    7.1 KB · Views: 12
Waaah!hata kuwahi kuliendesha ni dalili za uchumi wa Kati😋🤸😛
Mm ugonjwa wangu ni haya madude ya mmarekani kutoka general motors GMC yukon na yukon Denali yaani hata ubimbirike kwenye mtaro unatoka unapangusa tu vumbi, ukiwa nalo mwenye paso, vitz ist unaweza waruhusu watest airbag zao, ni gari ya kibabe mno kama mmarekani mwenyewe alivyombabe
 
Attachments

  • images (34).jpg
    images (34).jpg
    22.3 KB · Views: 12
  • images (38).jpg
    images (38).jpg
    37.4 KB · Views: 9
  • images (35).jpg
    images (35).jpg
    21.4 KB · Views: 10
  • images (36).jpg
    images (36).jpg
    8 KB · Views: 10
  • images (37).jpg
    images (37).jpg
    8.5 KB · Views: 10
Mm ugonjwa wangu ni haya madude ya mmarekani kutoka general motors GMC yukon na yukon Denali yaani hata ubimbirike kwenye mtaro unatoka unapangusa tu vumbi, ukiwa nalo mwenye paso, vitz ist unaweza waruhusu watest airbag zao, ni gari a kibabe mno kama mmarekani mwenyewe alivyombabe
[/QUOT]
Hahahha magari ya kiume balaa...kindaki ndaki...!
 
Mm ugonjwa wangu ni haya madude ya mmarekani kutoka general motors GMC yukon na yukon Denali yaani hata ubimbirike kwenye mtaro unatoka unapangusa tu vumbi, ukiwa nalo mwenye paso, vitz ist unaweza waruhusu watest airbag zao, ni gari a kibabe mno kama mmarekani mwenyewe alivyombabe
Duuuuuh gari za kibabe baraaah hatareeeeh sanaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Duuuuuh gari za kibabe baraaah hatareeeeh sanaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mbabe mwingine kutoka marekani ni huyu cardilac escalade kuna moja niliwahi iona arusha alikua anaendesha yule wakili wa arusha aliyekutwa na bilion kadhaa kwenye acc ikisemekana alikua na mahusiano na kundi fulani hv la kigaidi, polisi walikuta ameweka 20ml kwenye siti walipomhoji kwa nn anatembea na pesa mingi kwenye gari yy akawajibu kuwa hizo pesa ni kwa ajili ya kununua vocha tu.
 
Attachments

  • images (60).jpg
    images (60).jpg
    8.5 KB · Views: 9
  • images (57).jpg
    images (57).jpg
    8.3 KB · Views: 9
  • images (58).jpg
    images (58).jpg
    9.7 KB · Views: 9
  • images (56).jpg
    images (56).jpg
    8.7 KB · Views: 9
  • images (57).jpg
    images (57).jpg
    8.3 KB · Views: 9
  • images (58).jpg
    images (58).jpg
    9.7 KB · Views: 9
  • images (56).jpg
    images (56).jpg
    8.7 KB · Views: 12
Mbabe mwingine kutoka marekani ni huyu cardilac escalade kuna moja niliwahi iona arusha alikua anaendesha yule wakili wa arusha aliyekutwa na bilion kadhaa kwenye acc ikisemekana alikua na mahusiano na kundi fulani hv la kigaidi, polisi walikuta ameweka 20ml kwenye siti walipomhoji kwa nn anatembea na pesa mingi kwenye gari yy akawajibu kuwa hizo pesa ni kwa ajili ya kununua vocha tu.
Duuuuuh tobaaaaaah mil 20 kwa ajiri ya vocha? Kuna watu wana pesa wallah hivi.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom