Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

Status
Not open for further replies.
Niliwahi kuandika uzi mwezi May nikisema nitafanya lolote ilimradi niondokane na umaskini.
Umaskini mbaya wazee.

Sijaondokana bado na umaskini but kidogo naona unafuu sasa, kwa Kibongobongo 33 yrs ukiwa na mahali pa kuweka mgongo mvua isikunyeshee na kausafiri hata kama umenunua kwa mbongo mwenzako si mbaya sana.

Nimepata shuhuda nyingi za Ngende, nami nimewahi kwenda nikiwa form two mara tu nilipomaliza mtihani wa form 2. Nilikwenda na rafiki/ndugu wa karibu tukisaka dawa ya kupata madini.

Tulikwenda centre ndogo ya ngende ila wembe wao ndo uleule.

Tulipewa dawa kwa buku 2 tu ingawa kule chimbo tukafanya utoto .

Sasa hivi nataka niende tena kuomba ukwasi,yaani niwe na pesa kama zote. Ngende ndio home land so, ninavyoisifia namaanisha. Sema tu watu wa kule hawana time na ngende na wakienda wanakwenda kwa issue zingine tu kama kilimo (avune sana mahidi ya chakula au korosho). Au ampate mwanamke fulani au mambo ya kuomba udiwani au ubunge.

Yaani ngende utajiri ndani ya miezi 3 tu bila kumwaga damu, pesa unatoa kiasi upendacho .

Cha msingi kuzingatia masharti ya kupeleka kiasi fulani kila mwaka. Unaweza kuambiwa kila mwaka peleka buku , wewe unaanza kudharau unasema tafidia, tafidia mwisho wa siku unageuka kuwa fukara na si maskini.

Ngende noma. Iko Liwale na Morogoro huko ndanindani.
Mkuu na subiria pm yako na mambo ya kuongea nawe mkuu
 
Mkuu ukifanikiwa naomba unipatia connection niende huko moro kuchukua dawa
 
....what the hell is this??...kwahiyo unataka kuniambia kwamba billgate jeff bezos hadi elon musk nao walipitia huko kwa ngende sijui.....au bakhressa mo dewj wote walipitia huko kwa waganga???.....kichwa kilipaswa kiwe: kwa wapenda shortcut wote wajinga na wavivu ambao wanachukia umasikini ngende ndo kimbilio..... wake up Africans that's not how things works...
Hayajakukuta wewe
 
Niliwahi kuandika uzi mwezi May nikisema nitafanya lolote ilimradi niondokane na umaskini.
Umaskini mbaya wazee.

Sijaondokana bado na umaskini but kidogo naona unafuu sasa, kwa Kibongobongo 33 yrs ukiwa na mahali pa kuweka mgongo mvua isikunyeshee na kausafiri hata kama umenunua kwa mbongo mwenzako si mbaya sana.

Nimepata shuhuda nyingi za Ngende, nami nimewahi kwenda nikiwa form two mara tu nilipomaliza mtihani wa form 2. Nilikwenda na rafiki/ndugu wa karibu tukisaka dawa ya kupata madini.

Tulikwenda centre ndogo ya ngende ila wembe wao ndo uleule.

Tulipewa dawa kwa buku 2 tu ingawa kule chimbo tukafanya utoto .

Sasa hivi nataka niende tena kuomba ukwasi,yaani niwe na pesa kama zote. Ngende ndio home land so, ninavyoisifia namaanisha. Sema tu watu wa kule hawana time na ngende na wakienda wanakwenda kwa issue zingine tu kama kilimo (avune sana mahidi ya chakula au korosho). Au ampate mwanamke fulani au mambo ya kuomba udiwani au ubunge.

Yaani ngende utajiri ndani ya miezi 3 tu bila kumwaga damu, pesa unatoa kiasi upendacho .

Cha msingi kuzingatia masharti ya kupeleka kiasi fulani kila mwaka. Unaweza kuambiwa kila mwaka peleka buku , wewe unaanza kudharau unasema tafidia, tafidia mwisho wa siku unageuka kuwa fukara na si maskini.

Ngende noma. Iko Liwale na Morogoro huko ndanindani.
Liwale/Morogoro sehemu gani mkuu,weka code sawa tuibuke
 
Binafsi nimeishi maeneo karibu na ngende

Ni kweli ngende Kuna huo utajili Ila mashart yake ndio magumu hasa ukishaanza kufanikiwa yan unapewa sharti ambalo ukiwa tajiri huwez kulimudu

Kuna mzee alienda ngende kuomba utajili kwa mganga, jamaa akapewa dawa vizuri na kweli alifanikiwa Sana Hadi mtaani watu tukawa tunamshangaa kwa mafanikio aliyokuwa nayo

Ila Sasa kumbe kule alikopewa ile dawa yule mganga alimwambia awe anampelekea sindano ya kushonea nguo zake kila mwaka. Sasa vuta picha wewe ni tajiri haswaaaa unaenda kununua sindano ya sh 10( kwa wakati huo) na unapanga Safari unawasha gari na kupeleka sindano tu kwa mganga? ....

To cut the story, jamaa aliweza kwa miaka mitatu tu Ila baadae alianza kupuuzia hawezi kupoteza hela nyingi kusafil kisa sindano ya sh 10, akawa ameacha kwenda na akawa anatuma salamu tu kwa yule mganga na kuwaagiza watu wampelekee hela Ila Hilo ndo lilikua anguko lake kwasababu alishindwa kupeleka sindano tu.

Ndugu zangu mashart ya ngende huwezi kutoboa hata Kama unayaona ni mepesi kwa siku za mwanzon Ila huko mbeleni huwezi kutoboa narudia Tena kwa msisitizo HUWEZI KUTOBOAAAAAA
Hebu niambie hiyo ngende ulipokua unaishi ni wapi,nipe code mzee niibuke chaaap
 
....what the hell is this??...kwahiyo unataka kuniambia kwamba billgate jeff bezos hadi elon musk nao walipitia huko kwa ngende sijui.....au bakhressa mo dewj wote walipitia huko kwa waganga???.....kichwa kilipaswa kiwe: kwa wapenda shortcut wote wajinga na wavivu ambao wanachukia umasikini ngende ndo kimbilio..... wake up Africans that's not how things works...
There is no single formula for success in life. And those guys you mentioned are not only Riches we have in country/word, most likely you don't know all Riches and how they became well economically.

We can't all thinking same ways, and since we are differs then have to think differently. People have to do what is right for them, and ends will justify the means.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom