Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

Status
Not open for further replies.
Ili uweze kupata kitu ambacho hukuwai kukipata Kabla unatakiwa kufanya kitu ambacho hukuwai kufanya kabla

uoga wako ndio umaskini wako lakin kwa hizi imani za kishilikina zilizojaa kafara za umwagaji damu kwakweli acha nife na umaskini wangu
 
Mleta mada, ikitokea mganga akafariki, utakuwa unapeleka kwa nani?
 
Niliwahi kuandika uzi mwezi May nikisema nitafanya lolote ilimradi niondokane na umaskini.
Umaskini mbaya wazee.

Sijaondokana bado na umaskini but kidogo naona unafuu sasa, kwa Kibongobongo 33 yrs ukiwa na mahali pa kuweka mgongo mvua isikunyeshee na kausafiri hata kama umenunua kwa mbongo mwenzako si mbaya sana.

Nimepata shuhuda nyingi za Ngende, nami nimewahi kwenda nikiwa form two mara tu nilipomaliza mtihani wa form 2. Nilikwenda na rafiki/ndugu wa karibu tukisaka dawa ya kupata madini.

Tulikwenda centre ndogo ya ngende ila wembe wao ndo uleule.

Tulipewa dawa kwa buku 2 tu ingawa kule chimbo tukafanya utoto .

Sasa hivi nataka niende tena kuomba ukwasi,yaani niwe na pesa kama zote. Ngende ndio home land so, ninavyoisifia namaanisha. Sema tu watu wa kule hawana time na ngende na wakienda wanakwenda kwa issue zingine tu kama kilimo (avune sana mahidi ya chakula au korosho). Au ampate mwanamke fulani au mambo ya kuomba udiwani au ubunge.

Yaani ngende utajiri ndani ya miezi 3 tu bila kumwaga damu, pesa unatoa kiasi upendacho .

Cha msingi kuzingatia masharti ya kupeleka kiasi fulani kila mwaka. Unaweza kuambiwa kila mwaka peleka buku , wewe unaanza kudharau unasema tafidia, tafidia mwisho wa siku unageuka kuwa fukara na si maskini.

Ngende noma. Iko Liwale na Morogoro huko ndanindani.
Wewe endelea kusaka pesa kwa ndumba utaishia kua chizi tu
 
....what the hell is this??...kwahiyo unataka kuniambia kwamba billgate jeff bezos hadi elon musk nao walipitia huko kwa ngende sijui.....au bakhressa mo dewj wote walipitia huko kwa waganga???.....kichwa kilipaswa kiwe: kwa wapenda shortcut wote wajinga na wavivu ambao wanachukia umasikini ngende ndo kimbilio..... wake up Africans that's not how things works...
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwenye kunihakikishia kafara inatajirisha anijuze, vitega uchumi vyote ninavyo, dingi yupo, matha yupo, mke na watoto hata kumi wapo.... Yaani nimesheheni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umetisha sana.
 
Ngende ni jina la kijiji au jina la uchawi? Hapa nimetoka kapa.
 
Ngende

kila mwaka unapeleka zawadi ya chungwa moja kwa mtaalamu.

Unatoka kigoma na Cruiser mpaka liwale

sharti safi sana
 
Ngende

kila mwaka unapeleka zawadi ya chungwa moja kwa mtaalamu.

Unatoka kigoma na Cruiser mpaka liwale

sharti safi sana
bomba sana. kwanza ni utalii. range rover yangu au v8 naenda na kurudi bila shida.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom