vita ni dhidi ya mapenzi ya jinsi moja, lakini mapenzi ya jinsi mbili tofauti ni ruksa sasa wakiingia vyumbani ni juu yao kufanya mapenzi ya kinyume
Hakuna linalokubalika, iwe mwanamke kuingiliwa na mwanaume kinyume cha maumbile au mwanaume kumwingilia mwanaume mwenzie kinyume au mwanamke kumsaga mwanamke mwenzie
Wote huo ni uchafu na ufirauni
wanataka utamu
Hiyo ni roho chafu, kule Sodoma na Gomorrah walipigwa kiberiti wote lakini hadi wanachipukia wengine.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sawa kabisa. Jee ni kwa nini hatuoni kampeni za kupinga wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile??
Kwa ivo mwanaume kwa mwanamke ni sawa tu!! Yaani ni sawa kwa mwanaume kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke!!??
Nyinyi watu tatizo ni kuwa mlidanganywa na kuona Biblia Haina maana kumbe majibu yote ya maswali yanayoumiza vichwa vyenu yanapatikana kwenye Biblia; siyo Quran wala kitabu kingine chochote.mapenzi ya jinsia moja, ndio vita inayopiganwa, tusichanganye hizi mambo.
dume vs dume, jike vs jike.
Nyinyi watu tatizo ni kuwa mlidanganywa na kuona Biblia Haina maana kumbe majibu yote ya maswali yanayoumiza vichwa vyenu yanapatikana kwenye Biblia; siyo Quran wala kitabu kingine chochote.
Someni Warumi 1:24-27 mpate majibu. Kwa suala hili zingatieni mstari wa 26
Kwa nini kwa wanawake hauna madhara kwa jamii!!Ushoga wa wanawake hauonekani pili hauna madhara kwa jamii
Mambo ya ndani na Sio ya nje shoga anaonekana,kwa mpalange ajulikani kwa machoKwa nini kwa wanawake hauna madhara kwa jamii!!
Kwa Ivo asipojulikana hakuna tatizo!??Mambo ya ndani na Sio ya nje shoga anaonekana,kwa mpalange ajulikani kwa macho
NdioKwa Ivo asipojulikana hakuna tatizo!??
Aisee!!Ndio
NdioAisee!!
Kwa ivo kinachopingwa siyo ushoga bali mashoga kuonesha ushoga wao hadharani?
Hapo nimeelewa!!Ndio
Jee hili si suala linalohitaji kampeni ya kulipinga kama ilivyo kwa ushoga??
Watanzania wengi huwa mnapenda kupinga au kutetea jambo bila ya kuwa na Mantiki.Kwa hio kama hatupingi wanawake kuingiliwa nyuma ndo turuhusu mashoga??.
Acha unafiki.