Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Ukweli usemwe tu

Narudia tena ukweli usemwe kwann? Rate ya mashoga inaongezeka na kwann? Rate ya wadada wanaoingiliwa kinyume na maumbile inaongezeka kama ni sio sisi wanaume tunayoisababisha iongezeke...
I couldn't agree more.
 
Pole Yao waliokubali kuingilia Kwa siku ya kwanza.....wamejikuta wanaendelea kuingiliwa.sema ndo ivo Kila Binadamu hukosea na ana mzigo wake wa dhambi....si vizuri kunyoosheana mikono ila kiukweli kuingilia kinyume na maumbile ni tendo la aibu sana
 
Mmenipa Bandari, nafukuzia kuinunua JF
Hahaaaaa, hongera sana tumeiona kazi yako kwa maana sasa tunaanza sheherekea mwaka wa kiislam na hatutaenda kazini kwenye hiyo sikukuu. Hapo tu bado hamjaanza kuitumia bandari rasmi. Mkianza, hakikisheni na Ijumaa iwe siku ya ibada tusiende kazini kabisa.
 
Ukweli usemwe tu

Narudia tena ukweli usemwe kwann? Rate ya mashoga inaongezeka na kwann? Rate ya wadada wanaoingiliwa kinyume na maumbile inaongezeka kama ni sio sisi wanaume tunayoisababisha...
Mchezo Haramu (Muro, 2023)
 
Ujiulize pia kwa nini wanawake wakipiga picha wanageuza makalio ili yaonekane kuliko sehemu yoyote kwenye mwili wake
 
Back
Top Bottom