Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Hamna namna mtahalalisha ushenzi wenu.....
Hii nchi hamtakiwi.
Hatutaki mapenzi ya Jinsia moja nchi hii, na hakuna namna mtakuja kubalika na jamii mtaishia kujichekesha mitandaoni humu.
Ila kwa ground hamuhitajiki.
Mbna huko uraiani mashogaa wanatambaaa na hakuna kitu mnafanyaaa, nyie ndo mnalia kwa keyboard, poleeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbna huko uraiani mashogaa wanatambaaa na hakuna kitu mnafanyaaa, nyie ndo mnalia kwa keyboard, poleeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Attachments

  • Screenshot_20220901-132539_1.jpg
    Screenshot_20220901-132539_1.jpg
    71 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220901-132519_1.jpg
    Screenshot_20220901-132519_1.jpg
    65.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220901-132349_1.jpg
    Screenshot_20220901-132349_1.jpg
    52.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220901-132349_1.jpg
    Screenshot_20220901-132349_1.jpg
    52.6 KB · Views: 4
Kumuingilia kinyume na maumbile mwanamke haya hayana ushahidi wa nje ni makubaliano binafsi ya wazinzi.
Shoga anaonekana KWA nje kupitia
1.Mavazi na mapambo
2.Mitembeo
3.Ongea
4.Makundi marafiki hakuna shoga mwenye ujasili wa kukaa pamoja na wanaume, swahiba zake kutwa ni wanawake.
So haya mambo yanapingwa kwa sababu yana madhara makubwa Sana kuliko umalaya.
1.Usambaza maradhi
2.Uharibu maadili
3.Uharibu utu wa Mwanadamu
4.Ni tabia rahisi kuambukiza vijana wachanga.
5.Uharibu nguvu Kazi.zaidi ya kufirwa anaweza Kazi gani?
6.Uzuia muendelezo wa uzazi.
Kazi ya mwanaume ni kumzalisha mwanamke Ili dunia iendele kuwepo watu. Adamu angekuwa shoga usingekuwepo wewe leo duniani.
7.Mashoga ufa young under 50.
Ufa mapema zaidi.

Malaya anaacha umri ukisonga ushoga bila nguvu ya Mungu huwezi Acha hata kifo.
 
Sijaonaaa hizo screenshots zakoo. Labda urudie tenaa.
 
Kumuingilia kinyume na maumbile mwanamke haya hayana ushahidi wa nje ni makubaliano binafsi ya wazinzi.
Shoga anaonekana KWA nje kupitia
1.Mavazi na mapambo
2.Mitembeo
3.Ongea
4.Makundi marafiki hakuna shoga mwenye ujasili wa kukaa pamoja na wanaume, swahiba zake kutwa ni wanawake.
So haya mambo yanapingwa kwa sababu yana madhara makubwa Sana kuliko umalaya.
1.Usambaza maradhi
2.Uharibu maadili
3.Uharibu utu wa Mwanadamu
4.Ni tabia rahisi kuambukiza vijana wachanga.
5.Uharibu nguvu Kazi.zaidi ya kufirwa anaweza Kazi gani?
6.Uzuia muendelezo wa uzazi.
Kazi ya mwanaume ni kumzalisha mwanamke Ili dunia iendele kuwepo watu. Adamu angekuwa shoga usingekuwepo wewe leo duniani.
7.Mashoga ufa young under 50.
Ufa mapema zaidi.

Malaya anaacha umri ukisonga ushoga bila nguvu ya Mungu huwezi Acha hata kifo.
Hayo madhara uliyotaja, mbna yanaenezwa na nje ya ushogaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mashoga wapo KILA nchi KWA siri au wazi tegemea sheria za nchi na mapokeo ya jamii husika.
Kosa la USA ni kutaka kulazimisha utamaduni wao kwa Jamii zingine zisizoendana maadili yao, hii ni kinyume na haki za binadamu kuingilia, kulazimisha mambo kinyume na tamaduni zao.
Hili ni jambo la faragha binafsi na sio la kutaka kulihalalisha public.
 
Mwanamke kuingilia ni nature, mwanaume kuingiliwa ni kinyume na asili ya mwanadamu.
Kazi ya mwanaume ni kumuingilia mwanamke na sio kuingiliwa.
 
Nature, sayansi, chromosomes zinapinga mtu azaliwi shoga bali ujifanyiza shoga.
Ushoga ni tabia na sio asilia.
 
Tupe uthibitisho wa kisayansi usemao ushoga ni tabia
Sayansi ni fact na sio hadithi, sayansi haitambui kitu uitwa tabia.
Elimu kuhusu tabia hii ni upate wa elimu za kiroho na akili ( Mind and soul).
Sayansi uzungumza chanzo asili ya kitu.
Sayansi haina majibu kuhusu tabia.
Nimesema ishu za Chromosomes,DNA KWA maana ushoga sio jambo la kurithi kupitia bloodline au parential bonds.
Hii ni habit ya kujifunza,kuiga na sio kuzaliwa nayo.
Ushoga sio jambo la vinasaba.
Hakuna kinasaba cha ushoga, yaani shoga kuzaa shoga Hakuna, bali shoga uweza kumfundisha mwanae ushoga.
 
Wanawake wote ambao wanaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wao wawe wajasiri kujitokeza kwa mamlaka husika kama polisi katika dawati la jinsia au katika mamlaka za kidini ili wapate msaada. Tatizo linakuja pale ambapo mwanamke anogopa kutoa taarifa ili kulinda heshima ya mume wake kumbe anaumia na kuathirika. Hivi vitendo vyote ni vya kupinga kwa maneno na vitendo bila kuogopa chochote.
Mapenzi ya jinsia moja pia ni ya kupingwa kwa namna yoyote ile inayofaa kuanzia katika ngazi ya familia na jamii yote kwa ujumla.
Haya mambo ni laana sana kwetu kama tukiyafanya na kuyafurahia.
Hayafai.
 
Vyote kwa pamojaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😄😄😄 Vyote Kwa pamoja ni ushoga tu, kinyume na maumbile au kushiriki jinsia moja yote sawa. Njia ya kupita ni ile ambayo mnaweza kupata mtoto
 
Wadau Nawasalimu.Kumekuwa na Wimbi kubwa la Wananchi na Viongozi mbalimbali Wakipinga na kukemeaa USHOGA.Mimi binafsi naupinga kwa ASILIMIA 100.Pamoja na USHOGA bado kuna MATATIZO mengine ambayo yanatakiwa nayo kukemewa kwa NGUVU kubwa kwani Watoto Vijana Wanawake na Wanaume Wamejiingiza kwa nguvu kwenye VITENDO hivyo.

Watoto wamekuwa WAKILAWITIWA Vijana wa Kike na Kiume wamekuwa Wakishiriki KUSAGANA na Kufanya Mapenzi kinyume na Maumbile bila kuwasahau Wanawake na Wanaume wa RIKA mbalimbali Wakishiriki kwenye VITENDO hivyo .Serikali kupitia WIZARA ya AFYA itoe ELIMU juu ya MADHARA MAKUBWA ya Vitendo hivyo ili WASIOJUA waogope kuingia kwenye hivyo VITENDO.

Suala hili lisizungumzwe KISIASA kwani MADHARA yake ni JANGA la TAIFA Serikali iyachunguze MADANGULO yote NCHI nzima kwani nayo ni MAFICHO ya VITENDO hivi na Kuyafunga na kuwachukilia HATUA Wamiliki wake.Vile vile ELIMU hii ipite kwenye Shule zetu na VYUO ili kuwaelimisha WASOMI wetu.
 
Back
Top Bottom