ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kwani hao waliofungwa kwa kulawiti watu , walithibitisha vip faragha zao? hakuna kinacho shindikana hata kikichukua miaka 10Unaweza vipi kuona faragha kama siyo uchizi huu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao waliofungwa kwa kulawiti watu , walithibitisha vip faragha zao? hakuna kinacho shindikana hata kikichukua miaka 10Unaweza vipi kuona faragha kama siyo uchizi huu?
Dada mbona hata ninyi mnakulana KE kwa KE! Tena unaambiwa hilo penzi kuvunjika huwa ni ngumu hata iweje,labda afe mmoja.Katika viumbe wa ajabu ambao sijapata kuwaona ni WANAUME AISEE..YAAN MWANAUME MZIMA UNAMUINAMISHA MWANAUME MWENZIO ????? Aisee nyie ni viumbe wa aina yenu
Msiba mzito
Hatutaki mapenzi ya jinsia mojaNimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.
Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.
Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.
Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!
Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Tatizo la Mashoga wanataka tuwahudumie na kuwashangilia kila wakati.Hatutaki mapenzi ya jinsia moja
Kwani kuna kinyeo tofauti kati ya me na ke?mapenzi ya jinsia moja, ndio vita inayopiganwa, tusichanganye hizi mambo.
dume vs dume, jike vs jike.
Mashoga wanataka uhuru wa wao kuoana, maana hawataki kujibanaa, hawajasema wanataka watu wote wawe mashoga hapanaaaBasi wakubali upinzani toka kwa wasiokubaliana nao. Wasitafute huruma za watu kwa kuhamasisha dunia ione kama ni jambo la kawaida!
Wakianza kutafuta huruma za watu kwa kuhalalisha haramu kuwa halali, basi hata wezi na wachawi wataanza kutafuta haki zao za kuruhusiwa kuiba au kuwaroga wenzao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu tupo tunaopinga hata kunyonyana mashine ...na style zote ambazo dini hazitaki ...tunataka style moja Tu ya kifo cha Mende...
Vyama vije na Sera ya Ku address hili pia ... vinginevyo hatuwapigii kura
Wazinzi umeacha kuweka underline... Adhabu ni moja. Ufire/ufirwe/Uzini.
Na mashogaa wana enjoy kuliwa kinyeo chao, kwani shida iko wapiiiii? Si ni kitu kile kile.Sasa kama mwanamke unamlipa uumle kwa mpalange au yeye mwenyewe anataka/anakubali uumle kuna shida gani mkuu? Siku hizi warembo wenyewe wanakwambia bila huo mchezo hawainjoi shoo
Ilikuajee Dear Co??There is a guy ukimuona kwa threads anavyoshadadia killing gays humdhanii Ila three years back nilipotoa thread ya personal struggles na homosexuality akawa wa tatu kunitongoza. Hypocrites
Hakuna anayepinga hilo. Ila la wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile mbona hamlipingi kama mnavyopinga Ushoga!!??Hatutaki mapenzi ya jinsia moja
Wanachekeshaaaa mnoooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa uko sawa kabisa jamii imesahau kuwa tendo linalofanywa ni lile lie kwa wanawake na wanaume njia ni ile ile kwao wote. Ajabu unakuta Ke anayeingiliwa kinyume naye anapinga ushoga.
Ongezaaaa sautiiiiiiiii.Suala siyo jinsia moja bali ni kufanya tendo la ndoa kinyume na mpango qa Mungu.
Wanaofahamu maandiko matakatifu, wanajua imeandikwa:
1 Kor 6:9 SUV
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti.
Tena kiimani, hakuna mahali kunatajwa ushoga, bali wanatajwa walawiti na wafiraji. Na matendo hayo haiangaliwi kama ni dhidi ya mwanamke au mwanaume.
Wapewe tena wapewe sana mpaka watakapochoka wenyewe wataacha!Na dawa ya wanaume wanaowaingilia wanawake kinyume cha maumbile ni nini!??
Vyote kwa pamojaaa.Ushoga ni kufanya mapenzi ya jinsia moja au kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Jee hili jambo halistahili kupigwa vita!!??Kimsingi wanawake wengi sana wanaingiliwa kinyume na maumbile aidha kwa wao kushawishika au kushawishi wanaume. Ni mchezo ambao unaonekana unafanywa sana na wanaume wasiotosheka kingono.
Hata kifungu cha sheria kinasema ulawiti na sio ushoga.Penal code ya kulawiti ni moja , haijalishi jinsia , unless kama unataka kuwe na double standard kwenye kutekeleza adhabu hiyo
Nao wanaume wawili walio chumbani kwao, wasiingiliwe mipango yao.Nipo katika upande ambao sitaki mtu aingilie mipango ya chumbani mwa mke na mume.
Akikujibu nitag. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nini kwa mwanaume na mwanaume isiwe "Hayo yao" bali kwa mwanaume kwa mwanamke ndiyo iwe ni faragha yao!!??