Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Katika viumbe wa ajabu ambao sijapata kuwaona ni WANAUME AISEE..YAAN MWANAUME MZIMA UNAMUINAMISHA MWANAUME MWENZIO ????? Aisee nyie ni viumbe wa aina yenu

Msiba mzito
Dada mbona hata ninyi mnakulana KE kwa KE! Tena unaambiwa hilo penzi kuvunjika huwa ni ngumu hata iweje,labda afe mmoja.
 
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.

Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.

Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.

Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!

Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Hatutaki mapenzi ya jinsia moja
 
Hatutaki mapenzi ya jinsia moja
Tatizo la Mashoga wanataka tuwahudumie na kuwashangilia kila wakati.
1. Tuwaozeshe
2. Wawafundishe Ushoga watoto wetu sisi (wao hawazalishi watoto)
3. Tuwahudumie kila wanapo pita.
4. Tusiwacheke kabisa
5. Tuwaone watu muhimu sana katika jamii.
6. Hawana habari na maendeleo wao ni Ushoga na Starehe
Nakadharika.

Wakati
1.Hakana mtu anaye Wawinda Mashoga.
2. Huko Chumbani wanapo furahishana hakuna anaye wakataza wala kuwakamata.

Tatizo lao kuu wanataka wawafundishe watoto wetu sisi wawe Mashoga kama wao na sisi ndio hatutaki.
Wazae watoto wao ndio wawafundishe huko ndani kwao.

Hili ndio tatizo linalo fanya tuwachukie Mashoga.
 
Basi wakubali upinzani toka kwa wasiokubaliana nao. Wasitafute huruma za watu kwa kuhamasisha dunia ione kama ni jambo la kawaida!

Wakianza kutafuta huruma za watu kwa kuhalalisha haramu kuwa halali, basi hata wezi na wachawi wataanza kutafuta haki zao za kuruhusiwa kuiba au kuwaroga wenzao!
Mashoga wanataka uhuru wa wao kuoana, maana hawataki kujibanaa, hawajasema wanataka watu wote wawe mashoga hapanaaa
Kuweni waelewaa.
 
Halafu tupo tunaopinga hata kunyonyana mashine ...na style zote ambazo dini hazitaki ...tunataka style moja Tu ya kifo cha Mende...
Vyama vije na Sera ya Ku address hili pia ... vinginevyo hatuwapigii kura
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wengi wanaowaingilia kinyume na maumbile wanaume na watoto mimi nahisi wameanzia kwa wanawake. Sasa baada ya kuzoea wanaanza kuruka na mashoga na watoto wadogo walioharibiwa.

Kimsingi wanawake wengi sana wanaingiliwa kinyume na maumbile aidha kwa wao kushawishika au kushawishi wanaume. Ni mchezo ambao unaonekana unafanywa sana na wanaume wasiotosheka kingono.

Na nadhani chanzo ni wanaume kutoridhika na matundu ya wanawake wa kisasa ambayo yanaonekana aidha kukosa ule mbano unaotakiwa katika shimo sababu ya kutumika sana na kupitisha mtoto au watoto miongoni mwa sababu nyingine.

Ushoga nadhani unapigwa sana vita sababu ni unaribifu wa jinsia ME so ni sahihi sana kuupinga na kuupiga vita. Mtoto wa kiume mara akishakuwa shoga ni ngumu sana kurejea uhalisia wake tena hata iweje maana inamtoa uanaume forever. Ndio maana unaona vitabu vya dini vimekemea sana hilo swala la ushoga na sidhani kama kunasehemu wameongelea wasagaji maana madhara kwa mwanamke msagaji ni madogo sana na anaweza rekebika akitaka kurejea sawa.

Ila mwanaume shoga akishafanya sana ni ngumu sana baadae kuja kujirudi awe sawa maana anakuwa tauari uanaume wake umeondoka na uanaume ukishaondoka huwa haurudi tena maisha yote hata ufanye nini au utubu vipi hiyo dhambi ya ushoga.

So vita viendelee.
 
We jamaa uko sawa kabisa jamii imesahau kuwa tendo linalofanywa ni lile lie kwa wanawake na wanaume njia ni ile ile kwao wote. Ajabu unakuta Ke anayeingiliwa kinyume naye anapinga ushoga.
Wanachekeshaaaa mnoooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Suala siyo jinsia moja bali ni kufanya tendo la ndoa kinyume na mpango qa Mungu.

Wanaofahamu maandiko matakatifu, wanajua imeandikwa:

1 Kor 6:9 SUV

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti.

Tena kiimani, hakuna mahali kunatajwa ushoga, bali wanatajwa walawiti na wafiraji. Na matendo hayo haiangaliwi kama ni dhidi ya mwanamke au mwanaume.
Ongezaaaa sautiiiiiiiii.
 
Kimsingi wanawake wengi sana wanaingiliwa kinyume na maumbile aidha kwa wao kushawishika au kushawishi wanaume. Ni mchezo ambao unaonekana unafanywa sana na wanaume wasiotosheka kingono.
Jee hili jambo halistahili kupigwa vita!!??
 
Penal code ya kulawiti ni moja , haijalishi jinsia , unless kama unataka kuwe na double standard kwenye kutekeleza adhabu hiyo
Hata kifungu cha sheria kinasema ulawiti na sio ushoga.
 
Back
Top Bottom