MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 216
- 313
Hovyo kabisaTatizo watanzania kwanza hatujafundishwa kuvumilia mawazo ya wengine, lakini pia huwa hatuwezi kupinga hoja bila ya kuonesha kuna kupambana. Hoja hapa ni rahisi. Unapinga ushoga, hiyo ni sawa. Lakini jee unapinga pia wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile??
HIyo ndiyo hoja. Mabandiko kuhusu ushoga yapo mengi tu humu JF. Kama unataka kujadili ushoga yatafute hayo mabandiko uweke maoni yako huko.