Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Binafsi nafikili kumuingilia mwanamke kinyume cha Maumbile ni ushoga vile vile kama ilivyo otherwise, lkn Wanawake wenyewe wanasemaje ? Why wako kimya , Kazi yao kubwa ni Kuwa machawa na Kwenda Kumpongeza bi Tozo tu, hili la Kumenywa takoni hawalipigii kelele kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Wewe Ni wale wale TU
Tatizo watanzania kwanza hatujafundishwa kuvumilia mawazo ya wengine, lakini pia huwa hatuwezi kupinga hoja bila ya kuonesha kuna kupambana. Hoja hapa ni rahisi. Unapinga ushoga, hiyo ni sawa. Lakini jee unapinga pia wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile??

HIyo ndiyo hoja. Mabandiko kuhusu ushoga yapo mengi tu humu JF. Kama unataka kujadili ushoga yatafute hayo mabandiko uweke maoni yako huko.
 
Mm namtizamo tofauti .Tunachopinga ni wao kutaka kutambuliwa sio wao wakiamua kularuana kwa siri .hatutaki watambulike kisheria kama wasivotaka kutambulika wavuta bangi na wanaoingilia kinyume na maumbile wanawake .hatutaki washawishi watoto wala kufundisha watoto kuwa wanaweza kufanya maamuzi ya jinsia .jinsia ni mbili tu ke na me .makosa ya kingono baina ya ke na me mfana kula ndogo wahusika hata wao huwa wanakataa kujihusisha .Mfano mm huwa navuta bangi kamwe sitaki kuwe na sheria ya kunitambua na sina haki yoyote nikikamatwa nifungwe pia siwez kaa nisapport watoto wafundishwe bangi na nikiulizwa ntas3ma sivuti na ntawaambia watoto bangi ni dhambi
 
Nimeunganisha ili nijenge hoja yangu. Maana kwangu mimi naangalia tendo na siyo Jinsia. kwangu naona tendo ni moja ila moja ni kati ya mwanamke na mwanaume na jingine ni kati ya mwanaume kwa mwanaume. Tulikatae tendo siyo jinsia!!
Ndiyo tunakataa tendo. Jamii haina uwezo wa kupata ushahidi wa kimazingira ili kuweza kupinga uhalifu wa kuingiliwa kinyume na maumbile kati ya me na ke iwapo ke atakaa kimya. Lakini kati ya me na me inajulikana waziwazi kabisa kwamba mmojawapo kafanyiwa upuuzi. Nadhani ndio maana hatusikii kelele kati ya me na ke kama tunavyozisikia kati ya me na me.
 
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.

Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.

Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.

Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!

Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Sheria za nchi yetu haziruhusu jinsia yoyote kuingiliwa. Na nakupongeza kwa hoja yako.Kama watu hawataacha kuingilia kinyume wanawake basi hatutatibu tatizo asilani kwani jinsia zote zina makalio.Sasa leo unamtumia mwanamke.Kesho hayupo ila kuna mwanaume hapa na ana kalio.Unaona shida hiyo. ..
 
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.

Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.

Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.

Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!

Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?

Alafu ww ushaanza kuvuruga maana ya ushoga, alafu ukinywa pombe usiingie JF plz.

Nani kakwambia mwanamke akiingiliwa na mwanaume kinyume na maumbile ni ushoga? Acha ushamba wee, ushoga ni kufanya mapenzi kwa watu wa jinsia moja, yaani mwanaume kwa mwanaume au mwanamke kwa mwanamke..

Kama hujui vitu vizuri uliza, sio umelewa mbege unaingia JF, unaanza wanawake kuingiliwa uani eti ni ushoga, kumbe hujui maana halisi ya ushoga, unataka kuharibu sunnah yetu ww.
 
Shimo la kuingia ni moja tu yani K tena ya mwanamke,tofauti na hapo ni kosa.

Anaekula jicho la mdada,ipo siku atakula la mwanaume mwenzake na mwisho wa siku nae ataliwa kimasihara
 
Kuna mafala mengine yenye familia kabisa utayakuta yanahalalisha huo UPUMBAVU vijiweni eti "siku hizi tigo ni habari za mjini, ukimla Ke bila ya kula jicho lake anakudharau kabisa"

Nilichefukwa nikayatukana vizuri sana kuwa si kila Me anayejitambua ni Mpumbavu sawa na wao hadi walibadili mada....hiki kizazi kilipofikia pthuuu...[emoji2961]
Usipo kula mwana mla ndo upumbafu wako unapo anzia hizo ndi misemo ya mjiniiiiii.... Huku chuga tuna sikia tu
 
Nafikiri ni vizuri kuelewa muktadha wa hii issue. Mapenzi kwa watu wa jinsi moja mwanaume kwa mwanaume au mwanamke kwa mwanamke ndiyo hoja. Mwanamke na mwanaume wakishajifungia sehemu kinachofanyika na namna kinavyofanyika ni juu yao na makubaliano yao.
Wenye hoja hii wote ni mbuni mliozika kichwa chini ya mchanga.Kuna ukweli hamtaki kuusikia na hivyo mmebatilika mwanzo mwisho
 
Tatizo wanawake wenyewe siku hizi yaani wazichomoa huku wanazielekezea kule na kuziingiza wenyewe sijui shida ninini
Kwan hata hao wanaume mashoga si wanataka wenyewe?..
Mbona mnapinga wanaume kutaka ila hampingi wanawake kutaka huko!

Anayemgeuza mwanamke haachi kumgeuza mwanaune!!!
 
Back
Top Bottom