Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Kwa ivo mwanaume kwa mwanamke ni sawa tu!! Yaani ni sawa kwa mwanaume kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke!!??
Je ni sawa mwanaume kumwingizia uume wake mdomoni mwanamke na kumfanya pale mdomoni mpaka anapizi??
 
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.

Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.

Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.

Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!

Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Na je vipi kuhusu oral sex ambayo inafanyika sana siku hizi, inakubalika?
 
Hii issue pia ni hatari sana, emb assume mwanaume anamwingizia mwanamke then anatoa anaingiz kweny K ikiwa na mavi then mwanamke anapata mimba then mwanamke anajifungua mtoto, kumbuka apo shahawa zimechanganyika na mavi so uyo mtoto atakaye zaliwa ataacha kuwa basha kwel
Hili swala pia ni la kupinga kwa nguvu zote
 
mapenzi ya jinsia moja, ndio vita inayopiganwa, tusichanganye hizi mambo.

dume vs dume, jike vs jike.
Ila kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile pia ni laana mbele za Mwenyezi Mungu. Quran imekataza na biblia pia imekataza.

Tulaani pia na huu ushenzi
 
Warumi 1:26
Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
Warumi 1:27
wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
Tuletee na kifungu kinachokataza uzinzi. [emoji3578][emoji851]
 
mambo ni moto ni wadada wachache sana saivi wenye msimamo asiliwe ndogo
wengi wanakubali hata kama hajawahi kutoa jicho
ila ukimuomba hata akikataa badae anakubali
ukimla siku moja mara ya pili yatatu atataka mwenyewe.
kuna mshuga mami nitaulaum sana
nashaur kama mwanaume hajawah kula jicho asijaribu
maana ukimgeuza mwanamke mara moja huta acha utaendelea kuwageuza
na mwanamke akigeuzwa mara kadhaa atakua anataman kugeuzwa kila siku.
hali ni mbaya tupinge wote kwa nguvu zote
 
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.

Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.

Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.

Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!

Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Hakuna harakati zozote za wanawake au washenzi fulani walio inuka kutetea kuingiliwa ukinyume na maumbile kuwa haki zao za binadamu na kwamba jambo hilo lihalalishwe kisheria.
Ndio maana kama lipo wamekuwa wakilifanya gizani katika vyumba vya siri kwa kujua kuwa ni jinai na kosa kisheria.
Hata hivyo Katika sheria za Tanzania kuna kufungu cha adhabu ya hukumu ya kifungo cha hadi miaka 30 kwa atakaebainika kumwungilia mwanamke/mke kinyume na maumbile.
 
Suala siyo jinsia moja bali ni kufanya tendo la ndoa kinyume na mpango qa Mungu.

Wanaofahamu maandiko matakatifu, wanajua imeandikwa:

1 Kor 6:9 SUV

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti.

Tena kiimani, hakuna mahali kunatajwa ushoga, bali wanatajwa walawiti na wafiraji. Na matendo hayo haiangaliwi kama ni dhidi ya mwanamke au mwanaume.
Uko sahihi kabisa mtu yeyote mwenye tabia ya kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile anao uwezekano mkubwa wa kupata ashki ya kishetani ya kumwingilia mwanaume kuliko yule ambaye anaona kumwingilia mwanamke hiyo sehemu ya kutolea kinyesi ni kinyaa.Watu wamrudie Mungu kwa kuacha uzinzi unaofanywa kwa njia za ajabu Ajabu zikiwemo hata zile za kunyonya na sehemu za siri .Style za kuingiliana ni vyovyote cha muhimu ingiza panaporuhusiwa na si vinginevyo

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
wanaoingia chumbani kumegana ni mke na mume ( ke vs me)...

utaratibu wa Ke vs Me kumegana unajulikana ni pipe inside the papuchi, sasa hizo story za Ke na tako mnazizusha tu ili kujustify Me kuliwa na Me..

Hakuna maajabu kwa Ke na Me wakijifungia chumbani na kuvua nguo maana inajulikana mmoja ana nini na mwingine ana nini, tukisikia kelele za mahaba hakuna shida ni nature hiyo na uumbaji.
Tukiona Me na Me wanaingia chumbani na kujifungia na tukasikia kelele za mahaba lazima tustuke maana hiyo sio nature na wala uumbaji.

..Tatizo ikitokea hivyo anayemuingiza mwenzake husifiwa.

..Halafu aliyeingizwa ndio jamii inamuandama na kumlaani.

..Kwa maoni yangu wote wanapaswa kuchukuliwa hatua kali za Kisheria.
 
Kwa wanawake tunapinga USAGAJI yaani Mwanamke na Mwanamke kuoana though haijawa serious kama hii ya Dume kwa Dume kuoana ama kuwa wapenzi.

Vita hii ni kali sana, nimeona midume yenye nguvu tena mi-africa inalilia haki ya kuolewa - eeeh Mungu tunusuru na hili janga.
 
Hakuna harakati zozote za wanawake au washenzi fulani walio inuka kutetea kuingiliwa ukinyume na maumbile kuwa haki zao za binadamu na kwamba jambo hilo lihalalishwe kisheria.
Ndio maana kama lipo wamekuwa wakilifanya gizani katika vyumba vya siri kwa kujua kuwa ni jinai na kosa kisheria.
Hata hivyo Katika sheria za Tanzania kuna kufungu cha adhabu ya hukumu ya kifungo cha hadi miaka 30 kwa atakaebainika kumwungilia mwanamke/mke kinyume na maumbile.
wanawake walivyo na tamaa na vitu vizuri tena sijui kama wanasalimika na walivyo na huruma,
yaan atake IPhone 14
anunuliwe halafu
badae aombwe ndogo akunyime sidhan
 
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.

Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.

Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.

Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!

Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Huwa unapiga cha Arusha?
 
Back
Top Bottom