Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

mapenzi ya jinsia moja, ndio vita inayopiganwa, tusichanganye hizi mambo.

dume vs dume, jike vs jike.
Kwa hio kufi@#ra wanawake ruksa? Kuna dini au kabila linaruhusu kumf.... mwanamke?
Ukiniambia ni ruksa nami nitaanza kutongoza wamama wenye makalio kama mto nifanye yangu.
 
Wanawake wanaona sawa tu ,Sasa wanaume kutwa kubishana kimtazamo kwa mwanamke sawa ila kwa mwanaume sio sawa so Sheria zilizopo zipo kumtumikisha mwanaume...
 
Tatizo ni kwamba, hao wanawake wanaofanyiwa hawajawahi kuomba iwe haki na hawana chama chao kama ilivyo kwa mashoga.
Hawa wanaomba kutambuliwa na dunia ione kama ni jambo la kawaida.

Au umewahi kukuta hamasa ya wazi ya kuruhusu wanawake kuingiziwa kinyume na maumbile?

Lakini hamasa za kutaka wanaume kwa wanaume kuoana au wanawake kwa wanawake,zinafanyika kwa nguvu zote. Hii si sawa. Hata kama wanafanya, wasingetafuta kukubaliwa kwa kile wanachofanya!

..vipi wanaodai ufi.raji ni mbinu mojawapo ya wapelelezi wetu wakati wanahoji watuhumiwa wa uhalifu?

..yaani mtuhumiwa anakamatwa halafu ana.***** mpaka anakiri makosa na hatimaye anatiwa hatiani na mahakama.

..Na kuna wachangiaji wengi hapa JF wanasifia vitendo hivyo.

..Je, ni hiyo ni sahihi?

NB:

..kwa maoni yangu wigo tafsiri ya shoga uongezwe ili kuakisi uhalisia wa mmomonyoko wa maadili unaoendelea hapa Tanzania.
 
wanaoingia chumbani kumegana ni mke na mume ( ke vs me)...

utaratibu wa Ke vs Me kumegana unajulikana ni pipe inside the papuchi, sasa hizo story za Ke na tako mnazizusha tu ili kujustify Me kuliwa na Me..

Hakuna maajabu kwa Ke na Me wakijifungia chumbani na kuvua nguo maana inajulikana mmoja ana nini na mwingine ana nini, tukisikia kelele za mahaba hakuna shida ni nature hiyo na uumbaji.
Tukiona Me na Me wanaingia chumbani na kujifungia na tukasikia kelele za mahaba lazima tustuke maana hiyo sio nature na wala uumbaji.
 
JokaKuu hii yangu ni mada chokozi lakini kwa michango ya watu humu utaona kuwa kuna kiashiria (A smoking Gun) kisichotia shaka kwamba tatizo ni kubwa sana kuliko inavoonekana.

Kwa mujibu wa The Medical Women Association of Tanzania (Mewata) wanadai 1/3 ya wanawake Tanzania sawa na 33% wanaingiliwa kinyume cha maumbile ama na wenza wao au na watu wengine. Na kule Zanzibar ilionesha kuwa 25% ya wanawake hufanyiwa ulawiti majumbani mwao.

Sasa kwa nini hili halipigiwi kalele?
 
wanaoingia chumbani kumegana ni mke na mume ( ke vs me)...

utaratibu wa Ke vs Me kumegana unajulikana ni pipe inside the papuchi, sasa hizo story za Ke na tako mnazizusha tu ili kujustify Me kuliwa na Me..
Hakuna anayetaka ku-Justfy. Usijinaishe mawazo ya watu.
 
Back
Top Bottom