Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

mabasha ndio wa kulaumiwa maana ndio wanao waanza hata hawa wanawake
dunia ina mengi.
nilikutana na mshangaz nikauchombeza ukakubali
siku tulivyo kutana faragha sitosahau alibembeleza nimle jicho
nilimpinga ila kuna siku tumekula gambe nikamla sasa ikawa kila tunapokutana jicho lazima anipe
ilifika wakati nikawa najuta na nikamblock
 
Watanzania wana msimamo gani na Sheria ya Tanzania inasemaje kuhusu hiki kitendo?
Sasa hapo si hadi atokee mlalamikaji sasa aliye takiwa kuwa mlalamikaji ndio kajihamishia mwenyewe sasa sheria itajuaje 🤪🤪
 
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.

Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.

Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.

Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!

Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Umesema kweli kabisa aisee hilo suala wanaliona kama la kawaida tu mwanamke kuingiliwa kinyume hili nalo liangaliwe
 
Hahahahahahahahahahahahaha mbavu zangu, naijua mijitu ya hivyo mbona, siku wewe lilipue tu kama nilivyomlipua manzi mmoja humu nikapewa ban ila sijajali kikubwa linafki limeumbuliwa.
ni wastage of energy culture. Waachia dunia iwaumbue
 
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.

Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.

Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.

Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!

Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Mkuu, unajua kwanini Wanaume wengi tu waumini Sana wa Mizigo Mikubwa ?
Mkuu, tako la Mwanamke linavutia,Kwanza laini na Kubwa, unaanzaje kutamani tako la Mwanaume
 
Kwa maneno yako haya kwa hiyo ni sawa tu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile??
 
Kuna mafala mengine yenye familia kabisa utayakuta yanahalalisha huo UPUMBAVU vijiweni eti "siku hizi tigo ni habari za mjini, ukimla Ke bila ya kula jicho lake anakudharau kabisa"

Nilichefukwa nikayatukana vizuri sana kuwa si kila Me anayejitambua ni Mpumbavu sawa na wao hadi walibadili mada....hiki kizazi kilipofikia pthuuu...[emoji2961]
Usipomla jicho hapo ndani kuna wahuni watamla nje
The choice is your's
 
Back
Top Bottom