M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Sijasema ni sawa, hata hawa LBTGQ wangekuwa wanafanya mambo yao with privacy hakuna ambaye angewaingilia na kuwapiga vita. Hili suala la legalization wanalilipigania ndipo tatizo linapoanzia, yaani 'mashoga' wawe na uhusiano ulio public unaoambulika na kukubalika kijamii na kisheria? Huo ujinga waufanye kwa siri kama wafanyavyo wezi na wachawi yaani wakibainiwa waadhibiwe. Hata mwanaume anapomuingilia mwanamke kinyume na maumbila wanamke akienda kushitaki kwenye vyombo vya dola na ushahidi ukathibisha ya kuwa ni kweli huwa sheria inachukua mkondo wake lakini inapokuwa wamekubaliana na kila mmoja 'happy happy' inakuwa si tatizo provided wote ni watu wazima na wana akili timamu.Kwa ivo ni sawa kwa mwanaume kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke??