Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Ke kuingiliwa kinyume na maumbile kwa mujibu wa vitabu sio sawa na kwa elimu ya uumbaji si sawa pia.

Kidunia Ke wengi wanaanza kuingiliwa kinyume wakiwa watu wazima wenye maamuzi na sio kufundishwa wakiwa watoto, ukifuatilia story za mashoga (Me) wengi sio maamuzi ya ukubwani bali kuna dhulma ilifanyika utotoni na mtu kulazimishwa kuwepo huko na kujikuta yuko huko sio maamuzi yao (wanahitaji kusaidiwa kurudi kwenye hali ya kawaida, either kwa kuelimishwa au kwa nguvu).
 
Ukiona mashoga wanazidi kuongezeka ujue chanzo ni wanawake wengi kupenda kuingiliwa kinyume na maumbile.....na hili halisemwi au Lina uhalali ki serikali
 
Kuna mahali nimesema ushoga usipingwe?? Kwa maelezo yako jambo la wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile ni dogo ambalo haliwezi kuzuia watu kuupiga vita ushoga!!
Sawa, hakuna uliposema ushoga usipingwe. Lakini kwa nini umeunganisha suala la wapinga ushoga wa jinsia moja na suala la wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile katika thread moja? Wanaopinga ushoga hawakuwahi kusema wanaunga mkono hilo la pili.
 
Sawa, hakuna uliposema ushoga usipingwe. Lakini kwa nini umeunganisha suala la wapinga ushoga wa jinsia moja na suala la wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile katika thread moja? Wanaopinga ushoga hawakuwahi kusema wanaunga mkono hilo la pili.
Nimeunganisha ili nijenge hoja yangu. Maana kwangu mimi naangalia tendo na siyo Jinsia. kwangu naona tendo ni moja ila moja ni kati ya mwanamke na mwanaume na jingine ni kati ya mwanaume kwa mwanaume. Tulikatae tendo siyo jinsia!!
 
Kwa ivo sio muda wa kukemea wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile hata kama inafanyika faragha!!
Kama wanataka na wanakubaliana sirini sisi huku nje haituhusu. Vilevile kama umeoa unaweza kuta hata mkeo anaingiliwa kinyume kwa hiyari yake huko nje kwa hawara.

Usichangqnye mada iliyo mezani ni ndoa za jinsia moja.
 
Hata uasherati mmekatazwa na mnaufanya, utasema pia kumla tigo mwanamke ni sawaa tofauti na mwanaume,

Unafki umewajaa
Hamna namna mtahalalisha ushenzi wenu.....
Hii nchi hamtakiwi.
Hatutaki mapenzi ya Jinsia moja nchi hii, na hakuna namna mtakuja kubalika na jamii mtaishia kujichekesha mitandaoni humu.
Ila kwa ground hamuhitajiki.
 
Hamna namna mtahalalisha ushenzi wenu.....
Hii nchi hamtakiwi.
Hatutaki mapenzi ya Jinsia moja nchi hii, na hakuna namna mtakuja kubalika na jamii mtaishia kujichekesha mitandaoni humu.
Ila kwa ground hamuhitajiki.
Unateseka ukiwa wapi utumiwe painkiller?
 
Warumi 1:26
Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
Warumi 1:27
wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
 
Dawa ya mashoga ni kuwazika wakiwa hai, wataisha wote.
[emoji1][emoji1][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka mnooo mpaka machozi aisee[emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom