Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Ziwekwe na Kamera majumbani na mahotelini ili kuona nani na nani anaenda kinyume na hayo,
Au kuwe na siku maalumu ya Watanzania wote kukutana kwenye viwanja vya wazi na kunjunjana hiyo style ya kifo cha mende, itasaidia sana
There is a guy ukimuona kwa threads anavyoshadadia killing gays humdhanii Ila three years back nilipotoa thread ya personal struggles na homosexuality akawa wa tatu kunitongoza. Hypocrites
 
There is a guy ukimuona kwa threads anavyoshadadia killing gays humdhanii Ila three years back nilipotoa thread ya personal struggles na homosexuality akawa wa tatu kunitongoza. Hypocrites
Hahahahahahahahahahahahaha mbavu zangu, naijua mijitu ya hivyo mbona, siku wewe lilipue tu kama nilivyomlipua manzi mmoja humu nikapewa ban ila sijajali kikubwa linafki limeumbuliwa.
 
Tatizo ni kwamba, hao wanawake wanaofanyiwa hawajawahi kuomba iwe haki na hawana chama chao kama ilivyo kwa mashoga.
Hawa wanaomba kutambuliwa na dunia ione kama ni jambo la kawaida.

Au umewahi kukuta hamasa ya wazi ya kuruhusu wanawake kuingiziwa kinyume na maumbile?

Lakini hamasa za kutaka wanaume kwa wanaume kuoana au wanawake kwa wanawake,zinafanyika kwa nguvu zote. Hii si sawa. Hata kama wanafanya, wasingetafuta kukubaliwa kwa kile wanachofanya!
kinachofanywa faraghani ni tofauti na cha hadharani. huko kwenye faragha ni ubatili mtupu.
kikubwa cha faraghani kamwe kisiwekwe hadharani kulinda maadili yetu.
kutetea ushoga ni kutaka huu ubatili uwea hadharani na hili halikubaliki kamwe.
kwa vile huko gizani hatuwezi kuingia tusipende kupekua kinachofanyika humo. na hao wanaotaka huo ujinga wanhimbe handaki wakaishi humo jua lisijewamulika hatukubali!
 
mapenzi ya jinsia moja, ndio vita inayopiganwa, tusichanganye hizi mambo.

dume vs dume, jike vs jike.
Suala siyo jinsia moja bali ni kufanya tendo la ndoa kinyume na mpango qa Mungu.

Wanaofahamu maandiko matakatifu, wanajua imeandikwa:

1 Kor 6:9 SUV

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti.

Tena kiimani, hakuna mahali kunatajwa ushoga, bali wanatajwa walawiti na wafiraji. Na matendo hayo haiangaliwi kama ni dhidi ya mwanamke au mwanaume.
 
Vipi kuhusu mapenzi kwa njia ya mdomo? Kitendo kama kula au kuliwa cone.
Hakuna linalokubalika, iwe mwanamke kuingiliwa na mwanaume kinyume cha maumbile au mwanaume kumwingilia mwanaume mwenzie kinyume au mwanamke kumsaga mwanamke mwenzie

Wote huo ni uchafu na ufirauni
 
Kama hizi ndio takwimu basi hili lilipaswa kuwa jambo la kwanza kushughulikiwa kabla ya ushoga.
Mbona miziki yetu inahamasisha, Kuna vigodoro, n.k. in fact imeonekana ni suala la kawaida kabisa. Ila sijaona likipingwa kwa nguvu kama alivyosema mtoa mada.

Naona kama Kuna unafiki mahali tunafanya kama taifa. Takwimu tu za Mewata zinasema 1/3 ya wanawake wanageuzwa na waume zao. Sasa is it any better than tunachopinga??
 
Itakuwa wanaume wanaofumania wanawake wao na kuwapaka wagoni wao mafuta ni mashoga.
yaani mie nauliza hata uume utasimamaje - yaani kalio la mwanaume mwenzio likufanye upandishe ashiki kweeli afu kitu kisimame aiseee 😳 😳

Haya hata hilo Dume nalo limezinin'giniza kengele zake - kusubiri mzahama - kwelii

Ndo maana Mwenyezi Mungu alikiangamiza kizazi chote cha kule Sodoma.
 
Back
Top Bottom