Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Swali zuriKwa ivo tatizo ni aina ya tendo ama jinsia kufanana!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuriKwa ivo tatizo ni aina ya tendo ama jinsia kufanana!!??
Na huu ndo ukweliHapo napo Pana ukweli mjue ila basi hawawezi kulipinga hilo kwa sababu watumiaji ni weng
Na wewe mkuu! Kichwa cha uzi wako ni kiashilia tosha kwamba, unauwalakini kwenye hii vita! Acha tusikuhisi kwamba, wewe nawe ni miongoni mwa jamii hii isiyostahili kuishi, si kwa Muumbaji wala hapa DunianiNimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.
Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.
Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.
Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!
Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Hapa hoja siyo ushoga bali wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake. Ushoga upo Tangu enzi za Sodoma na Gomora. Nani aliupromoti!!?Mada ushoga Kila muda,mna upromote Sana,kuliandikana jina lenye ushoga ni kichefu chefu
Sisi tunasema Dume zima kumvulia nguo Dume kwenzake hata vitabu vyote vya dini vimekataza, yaani kwanza ukakasi mkubwa - kimyaaaa aiseee.Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!
Ile dogydogy inachochea sana kuingia kusikohusika.Halafu tupo tunaopinga hata kunyonyana mashine ...na style zote ambazo dini hazitaki ...tunataka style moja Tu ya kifo cha Mende...
Vyama vije na Sera ya Ku address hili pia ... vinginevyo hatuwapigii kura
Je kwa mwanamke!!??Sisi tunasema Dume zima kumvulia nguo Dume kwenzako hata vitabu vyote vya dini vimekataza, yaani kwanza ukakasi mkubwa - kimyaaaa aiseee.
Kuna kitu una-miss some places.Penda kujielimisha.mapenzi ya jinsia moja, ndio vita inayopiganwa, tusichanganye hizi mambo.
dume vs dume, jike vs jike.
Kwanza mimi natumia jina halisi, kwa ivo wanaonijua wanajua pia na tabia zangu. Hoja hapa ni kwa nini hatupigi vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake kama tunavyoupiga vita ushoga!!??Na wewe mkuu! Kichwa cha uzi wako ni kiashilia tosha kwamba, unauwalakini kwenye hii vita! Acha tusikuhisi kwamba, wewe nawe ni miongoni mwa jamii hii isiyostahili kuishi, si kwa Muumbaji wala hapa Duniani
Utajuaje kama Mwanaume anamla nyuma mwanamke wake? kwanza yawezekana hayo mambo yanakuwa published tu hayapo - lete ushahidi.Je kwa mwanamke!!??
Ile dogydogy inachochea sana kuingia kusikohusika.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Soma uelewe mada. Hapa mada ni kwa nini hatupigi vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake kama tunavyopiga vita ushoga!!??Kuendelea kuwazungumzia MABASHA kila siku ni kuendelea kupromote UBASHA kwenye JAMII MODS hizi MADA ZA WANAUME WANAOWALAWITI WANAUME WENZAO MZIFUNGIE..mada zote zinazowahusu hawa MABASHA waliolaaniwa mzifungie
Mkuu umeongea ukweli mtupu,kuna unafiki mkubwa na siasa kwenye haya mambo.Ubinadamu na staha kama Waafrika umepotea, tunaiga mambo ya kishenzi kabisa.Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.
Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.
Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.
Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!
Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Suala sio jina halisi hapa! Ni wewe kuwa umeandika kichwa kibovu cha huu uzi ambao ndani yake sasa iko hoja!Kwanza mimi natumia jina halisi, kwa ivo wanaonijua wanajua pia na tabia zangu. Hoja hapa ni kwa nini hatupigi vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake kama tunavyoupiga vita ushoga!!??
Acha kuleta "Blame Game" kwenye mada makini kama hii!!
yaani mie nauliza hata uume utasimamaje - yaani kalio la mwanaume mwenzio likufanye upandishe ashiki kweeli afu kitu kisimame aiseee 😳 😳Katika viumbe wa ajabu ambao sijapata kuwaona ni WANAUME AISEE..YAAN MWANAUME MZIMA UNAMUINAMISHA MWANAUME MWENZIO ????? Aisee nyie ni viumbe wa aina yenu
Msiba mzito