Jamani mwaka huu jitahidini mlete thread zitakazotushawishi tuwaoe....
Kuna waoaji na watmbaji, nakukumbusha tu.Naweka msisitizo hasa kwa wale warembo wenye kutamani kuolewa. Threads kama hizi zinafukuza wachumba
Mi nilijua wenye vibamia adhabu yetu iliishia 2018,kumbe mziki unaendelea
Kama ana aibu kuonesha vitu vyake, ana ujasiri wa kula k kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee. Yaaani Mie aibu iko ya kutosha. My be nipige kilimanjaro ndio inatoka. Otherwise ni baraaaHahahaa nilianzisha mwenyewe
Nikawa nazunguka naked nyumba nzima
Walau aibu ikapungua
πππHahahaa nilianzisha mwenyewe
Nikawa nazunguka naked nyumba nzima
Walau aibu ikapungua
Sa tatizo mnatutangaza
Yeeeh baba
Kuna waoaji na watmbaji, nakukumbusha tu.
Sheria ni kwamba mstaafu apewe chake chote, kikokotoo kimefyekelewa mbali
Na muoaji serious hawezi kuchanganywa na story za vijiweni otherwise arudi kijijini kwao huko wamtafutie kigoliHahahahaha lakini kumbuka huwezi kuingia kwenye kundi la pili kabla ya kupita kundi la kwanza. Compatibility kwenye 6 kwa 6 muhimu sana.