Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Wapo mbona, kipindi nafanya kazi, mahala visiwani zenji, Kuna katoto kalikua jf, hata miaka 23 hakaja fika kazuri balaa acha tyu , tulipiga sana stori za jf lakin kalikataa kunambia I'd yakeIna maana JF imekuwa na wanawake wengi sana siku hizi kiasi cha kila mwanaume humu ndani kuweza kumpata wa kwake?
Mademu wa humu ukienda kuonana nao jitahidi uwe na ka ulinzi pembeni, unaeza Kuta jamaa limeshiba alafu, limepanda hewani unafanywa kitu kibayaaa kaka be care, dudu baya anasema bela wochi yua Baki😆Niko katika hatua za mwisho kabisa kumpata Joanah
Wanasema your crush is one call away, so am taking my time..Sema wallah!!
Hahaha lazima niingie na silaha vitaniMademu wa humu ukienda kuonana nao jitahidi uwe na ka ulinzi pembeni, unaeza Kuta jamaa limeshiba alafu, limepanda hewani unafanywa kitu kibayaaa kaka be care, dudu baya anasema bela wochi yua Baki😆
Muhimu kaka, mi bado namsotea ephen, hanielewi kabisa huyu dada, sijui ninywe sumu😆😆😆Hahaha lazima niingie na silaha vitani
afate kiti apande anajitia stress za bure tu
Wacha bwana🤣Mwangu utakuwa umeopoa pisi matata sana
Inaonekana ni binti mrembo umbo ni 8Wacha bwana🤣
Mchanee, alafu Kuna muda anasifia wana humu, mbele yangu ananiumiza sana nafsiephen_ usikae kuumiza kijana huku
Mkuu ukute ni dume kabisaInaonekana ni binti mrembo umbo ni 8
Haiwezi tokea ivi unaweza kujificha kwenye ID ya kike miaka karibia 20 bila kujichukia kweliMkuu ukute ni dume kabisa
Hapo sawaHaiwezi tokea ivi unaweza kujificha kwenye ID ya kike miaka karibia 20 bila kujichukia kweli
Una uhakika nae tusije jichanganye Kwa mnyamwezi, sema Nini pia Kuna pisi inaitwa aizat, acha kaka sijiwezi kabisa na hapo, kwishaaaaaaa mimiHahaha aisee
Ngoja nikufanyie mpango kwa realMamy