Au sio? 😹Fanya hivo ila kama ni lamomy Nisha sikia ana liquor store cjui grocery Sina hakika nilitonywa tu na watoto wa mjini, pia ana duka la manguo ya wadada hawa Yale ka magauni ukikaza kumsakia una mpata code ya kwanza ni yupo town kati
Nasikia ana liquor store🥃 ka si grocery ya vinywaji, na shop la manguo Yale ya wadada Sina hakika lakini
nini kinaendelea hapa na bwana castle???Castle_Lite naanzia hapa kukuonyesha kua hizo IDs ulizo sema haziijui ID yangu ili siku nyingine uache kuchukulia too serious comment za watu.
Sasa sii warembo wente titi wanavaa bytterfly braMnapeana mbinu wenyewe..!! 😹
Anatafuta mume,na mimi nimemtolea nje,hivyo ana hasira kama zote.nini kinaendelea hapa na bwana castle???
Anatafuta mume,na mimi nimemtolea nje,hivyo ana hasira kama zote.
Hapana sijawahi kia na mawasiliano nae tuliKua tunakutana pale alipo kuwa amefikiaBado unamawasiliano nae?
🤣🤣🤣🤣🤣 Mi chimooooooooAu sio? 😹
Haya mlete kwenye liquor store yangu weeekend..!!
Umepiga chenga mwanaume hawezi kuwa ana urafiki na demu na akaacha kuomba mawasilianoHapana sijawahi kia na mawasiliano nae tuliKua tunakutana pale alipo kuwa amefikia
Huyu demu alikua haji pekee yake alikua ana kuja na mshikaji hivi mweupe ndo alikua ana muendesha mi nilihisi ni mpenzi wake, japo baadae ndo nikagundua huyu demu ni WA TangaUmepiga chenga mwanaume hawezi kuwa ana urafiki na demu na akaacha kuomba mawasiliano
Sasa mbona unaishia kula kwa macho tu mzeeHuyu demu alikua haji pekee yake alikua ana kuja na mshikaji hivi mweupe ndo alikua ana muendesha mi nilihisi ni mpenzi wake, japo baadae ndo nikagundua huyu demu ni WA Tanga
Wawe makini.Wasije kuanza kuwapenda "baba" au "wajomba" zao kifikra.Mimi niliishia kuliwaziwa tu mara oh one day yes................Sasa kwa wale wenzangu na mimi mnaovutiwa na warembo na kuwaanzishia nyuzi mshawahi fanikisha chochote?
HakikaWawe makini.Wasije kuanza kuwapenda "baba" au "wajomba" zao kifikra.
Mkuu Huwa naheshimu mahusiano ya mtu, nikigundua demu ana mwana hata kama mwana namzidi sifa zote Huwa napiga chini sijaja duniani kuonea au kuumiza mtu mi na MUNGU wangu tunajua tunavo malizana, unaeza niona mjinga kumbe moyoni nafahamu MUNGU kanipa mbadala yupi, bro na enjoy sana tangu nijifunze kumuachia MUNGU na kumfanya awe zaidi ya mshikaji wanguSasa mbona unaishia kula kwa macho tu mzee
toleo la kwanza ndo lipojeMe siyo kajinga eti radar zangu zimekunasa utakuwa ni toleo la kwanza
Binti mrefu mwenye makebo yake mjinitoleo la kwanza ndo lipoje
makubwa😆Binti mrefu mwenye makebo yake mjini
Kinyume chake ni toleo la mwishomakubwa😆
asanteKinyume chake ni toleo la mwisho
Karibu gheto mlango upo waziasante