Mnaowapondea Wapare, mbona huyu wangu hana hizo tabia?

Icho kizazi kilishaenda mdau hiki ni kizazi kipya we hushangai leo hii wachaga wanashape wanajua kupika mixer kukata viuno kwa bed...

Mamabo yanabadilika tuache kukariri
Ebu nitajie mchaga mmoja anaejua kukata kiuno kama feni,?
 
Ile trend ya wapare wachoyo +wachawi mbona uyu MARIAM wangu Hana hayo anapenda tu makande

Mzuri mcha Mungu muelewa au bado navutiwa timing?
Nasikia ni vicheche wa kike
 
Back
Top Bottom