kidonto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 1,961
- 2,918
Hakuna Mwanaume anaweza kutimiza Matakwa ya mwanamke yoyote Duniani....!Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.
Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!
Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Wewe hudumia familia, lea Watoto, timiza yale Muhimu kwa Mkeo....!
Mengine yasikuumize kichwa, hauko peke yako!
Hata mimi Ujinga huo ulinishinda.