James Hadley
Member
- Nov 5, 2021
- 36
- 29
Inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mie naweza kujizuia je mwanamke wangu ataweza. Imagine muhuni yuko site hana hata muda wa kutiana ni kazi kazi.Unachotakiwa kujua uaminifu una gharama, ishi mbali na vishawishi vinavyoweza kuharibu uaminifu, narudia tena sio rahisi sana inahitaji kuikana nafsi, na akili yenye kufikiri vizuri
Kuomba mbegu 😄 hii kali mzeeLabda ombi! Mwanamke anaweza kumpenda mtu mpaka akaomba "mbegu" ili apate mtoto wa kufanana. Utamnyima?
Tena mwanamke yuko vizuri kwenye kutunza uaminifu kuliko nyieSasa mie naweza kujizuia je mwanamke wangu ataweza. Imagine muhuni yuko site hana hata muda wa kutiana ni kazi kazi.
Mke anakuwa free unakuta anatombesha tu. Hajali kama wewe utaumia kiasi gani siku ukijua.
Acha masihara wewe 😀😀😀Tena mwanamke yuko vizuri kwenye kutunza uaminifu kuliko nyie
Hadi mnaenda kutenganisha furaha za watu.
Kumbuka mke wa mtu aliyeachwa ana mtoto wa kwanza ambae nae anaenda kukosa upendo wa pamoja wa baba na mama.
Hii mistari ni mizito sana na inaumiza- hapo maisha yao hayataenda kuwa sawa-never the same like beforeAcheni kubomoa familia za watu.
HatuaminianiAcha masihara wewe 😀😀😀
Hilo ni neno kaka mana huwezi kukimbia mitego kwa nguvu za kibinadam (yani mwili huu wa nyama ) lazima upate msaada wa kiroho.Jamaa hana kosaaaa...! Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewee
Hata wanaume- Kuna mmoja mume wa mtu alikuwa anamshawishi mke wa mtu wazae naye kwamba huyo mke wa mtu ni mzuri sana anaomba naye wapate mtoto itakuwa Siri yao wawili na mtoto asingiziwe mume wa mwanamke 🤔🤔🤔Labda ombi! Mwanamke anaweza kumpenda mtu mpaka akaomba "mbegu" ili apate mtoto wa kufanana. Utamnyima?
acha tu kaka,unavuruga future ya familia kwa upuuz wa 5mins na wakat huo huo akiachika kwa mumewe na wew unachanja mbuga...ajabu now days watu wanajisifia urijal kunyandua mke wa mtu...SO SAD!Halafu mtu akiamua kumchinja mkewe mnamuona akili hana. Wanawake wengine wako so selfish to an extent all they deserve is a death wish.
Hii naamini ni kweli tupu , especially ukijulikanaUkilala na mke wa mtu you will pay the price, in one way or another
Malipo huwa ni hapa hapa tuHakuna dhambi isiyo na majibu
Kwenye kikao tulikubaliana kwamba mahusiano ya mbali wanayaweza umoja wa mataifaMapenzi ya mbali ni mtihani mengi yanaangukia pua kama hivyo