Mnaozaa na wake za watu mnafikiria nini?

Mnaozaa na wake za watu mnafikiria nini?

Attachments

  • Screenshot_20230113-172618.jpg
    Screenshot_20230113-172618.jpg
    76.7 KB · Views: 14
Kiukwel wake za watu tuwakule lakini kuzaa nae ni kitu kibaya sana tena sana

Na wengine ambao huwa wananikera ni wale wanaozaa na wake za watu na baadae wanaanza kuomba mtoto
 
Mapenzi ya mbali ni mtihani mengi yanaangukia pua kama hivyo
Hii ndio imekuwa kama kauli ya kujilinda kwa wengi...hata ukisafiri tu wiki mtu anaanza kusema mapenzi ya mbali....yaani kwa kifupi uzinzi umehalalishwa kwa sababu za kijinga sana.... kweli kuishi mbali mbali ni tatizo lakini sikuhizi sio tu kuishi mbali mbali imekuwa hata mwanandoa akisafiri hata kidogo tu basi mwenza wake anachepuka kwa kusema eti mapenzi ya mbali....mambo yakigaribika fulu vilio....
 
Mkuu shusha presha,, hofu ya Mungu haipo tena
 
Binafsi nyege zmenirudisha nyuma Sana kimaisha

Nahisi Kama sisi wangoni tuliumbiwa mapenz maana sketi isipite mbele yangu kwakweli

Msihi Mwenyezi Mungu akusaidie maana huo ni mtihani mkubwa na unaathari kwenye nyaza mbalimbali ikiwemo uchumi, psychology , social etc
 
Back
Top Bottom