NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamia Simba kwanza ndiyo nikutajie.Ni nani mtaje
Naona zwazwa limewazuzua sana manyagoMiezi miwili iliyopita zilisikika sauti za kusema "hatumtaki Chama na Bora aende maana yeye siyo mkubwa kuliko timu".
Baada ya game ya Simba sc na Jwaneng galaxy Fc Chama kuonesha kiwango chake Kama ilivyokawaida kwenye timu ndogo huwaka kweli kweli na kufanya mashabiki waibuke nakuanza kuimba Chama ni Bora kuliko Pacome.
*Msichokijua kuhusu PACOME, ni kwamba huyu mwamba anacheza namba 8,10,11 na 7, huyu mwamba aka Kasi na anapiga miguu yote, huyu mwamba akili yake na utulivu katika lango ni hatari sana
*Huyu mwamba anakiwasha kimataifa na games za ndani, angalia mediama, Belouzdad na al ahly kote huku alikiwasha nje ndani bila kuchagua uwanja misri Ghana Wala kwa Mkapa.
Hii ni tofauti kabisa na chezaji lenye Kasi ya konokono anayesubiri kwa Mkapa tu ndiyo aonekaneakiwashe lakini hata mechi za Pale chamzi huwa anafichwa Kama titi ndani ya Sidiria kiufupi Chama ana mechi zake lakini siyo big talent Pacoume zizu.
Maoni Yangu: ni ngumu sana kumfananisha mchezaji anayekiwasha kimataifa Hadi local games na mchezaji anayesubiri kwa Mkapa tu.
Na mwisho wa siku anazeekea Simba. Yaani mchezaji awe na sifa zote hizo halafu hata tetesi za kutakiwa na timu kubwa hakuna. Huyo ni mchezaji bora wa Simba ila kwa soka la Africa hana maajabu.Unatoka nje ya mada,ligi ya Ivory Coast ni ya ngapi kwa ubora Afrika?Mbona Onana alikuwa MVP wa Rwanda?kwani Chama hajawahi kuwa MVP wa NBC?Chama yuko kwenye form tangu 2016 alipoipeleka Zesco nusu fainali klabu bingwa huku kwenye makundi akiwafunga Al Ahly goli mbili peke yake,aliwapeleka Simba makundi dhidi ya Nkana,robo fainali tatu na ni mfungaji bora namba 8 wa muda wote wa CAF,umesema vema Pacome yuko kwenye form lakini bado hajafika kwenye daraja (class) la Chama ambalo ili afike au akaribie anahitaji mwendelezo,Chama keshaweka class yake ambayo mnaitumia kumfananisha na kila mchezaji wa Yanga anayefanya vizuri,kuanzia Morrison,Feitoto,Aziz Ki hadi huyu Pacome but Chana ni yule yule
Alikwenda Berkane maisha yakamshinda !!Na mwisho wa siku anazeekea Simba. Yaani mchezaji awe na sifa zote hizo halafu hata tetesi za kutakiwa na timu kubwa hakuna. Huyo ni mchezaji bora wa Simba ila kwa soka la Africa hana maajabu.
Simba ni timu kubwa kuliko zote East Afrika,kumbuka ni timu ya 5 kwa ubora Afrika.Na mwisho wa siku anazeekea Simba. Yaani mchezaji awe na sifa zote hizo halafu hata tetesi za kutakiwa na timu kubwa hakuna. Huyo ni mchezaji bora wa Simba ila kwa soka la Africa hana maajabu.
Kwa hiyo ulitaka kusemaje?!Simba ni timu kubwa kuliko zote East Afrika,kumbuka ni timu ya 5 kwa ubora Afrika.
Sijakujibu wewe maana wewe unachelewa kuelewa,kaangalie alichouliza na nilivyomjibuKwa hiyo ulitaka kusemaje?!
Kuna timu kubwa halafu kuna timu zenye rank kubwa. Simba sio timu kubwa kwasababu haina kombe lolote la CAF. kwa East Africa siwezi kukataa ni timu kubwa. Kuna timu usajili wa mchezaji tu ni bajeti ya Simba. Mshahara wa mchezaji ni mara tano ya mshahara anaolipwa na Simba.Simba ni timu kubwa kuliko zote East Afrika,kumbuka ni timu ya 5 kwa ubora Afrika.
Kama hata hujui kuwa alishauzwa kwa bei kubwa RS Berkane na ndiye miongoni mwa wachezaji wanaolipwa hela nyingi nchini mie siwezi kukusaidia.Kwa hiyo unataka kusema wachezaji wa Yanga kama akina Aucho,Baca na Pacome ni wachezaji wabovu kwa sababu hakuna timu kubwa Afrika imewataka?Kuna timu kubwa halafu kuna timu zenye rank kubwa. Simba sio timu kubwa kwasababu haina kombe lolote la CAF. kwa East Africa inaweza Africa siwezi kukataa ni timu kubwa. Kuna timu usajili wa mchezaji tu ni bajeti ya Simba. Mshahara wa mchezaji ni mara tano ya mshahara anaolipwa na Simba.
Lakini zaidi ya yote hatusikii hata alitakiwa na timu fulani tokea kigogo fulani ila Chama kakakataa. Kila dirisha la usajili havumi zaidi kuvumishwa na Yanga pekee. Ukiachana na kutohitajika na vilabu vikubwa, kila kocha anayekuja anaona kama mchezaji asiyefit mpaka mashabiki mnaingilia kati kumpigania Chama.
Aliuzwa akafeli akarudi bongo, au alivyouzwa Berkane alienda Mamelod? Huyo ni wa hapa hapa bongo. Jogoo wa shamba hawiki mjiniKama hata hujui kuwa alishauzwa kwa bei kubwa RS Berkane na ndiye miongoni mwa wachezaji wanaolipwa hela nyingi nchini mie siwezi kukusaidia.Kwa hiyo unataka kusema wachezaji wa Yanga kama akina Aucho,Baca na Pacome ni wachezaji wabovu kwa sababu hakuna timu kubwa Afrika imewataka?
Pacome kwa anachokifanya kwenye klabu bingwa mpaka sasa, kama ataendelea na performance yake hiyo hiyo basi hatobakia Yanga msimu ujao.Kama hata hujui kuwa alishauzwa kwa bei kubwa RS Berkane na ndiye miongoni mwa wachezaji wanaolipwa hela nyingi nchini mie siwezi kukusaidia.Kwa hiyo unataka kusema wachezaji wa Yanga kama akina Aucho,Baca na Pacome ni wachezaji wabovu kwa sababu hakuna timu kubwa Afrika imewataka?
Umekimbilia kuweka wafungaji bora wa muda wote!
Kwani Pacome ameshamaliza kucheza kwamba hatofunga tena na hivyo kutozifikia hizo goli?
Pacome ana miaka 26 ana matarajio ya kucheza kwa miaka 7 mbele kuzifikia hizo goli kwa perfomance yake ni jambo la muda tu.
Chama kwa sasa ana miaka 33 huyu kucheza kwa miaka hata mitatu mbele kwa perfomance nzuri ni kitu cha kubahatisha tu.Umri umeshamtupa mkono.
Kwa msimu huu CAFCL hatua ya makundi Pacome ana goli tatu na assist 2 with unquestionable perfomance.
Chama ana goli na assist ngapi?
NAKAZIA HIYO YOTE KWA KUA ANA KIEANGO BORA SANA AISEEPacome kwa anachokifanya kwenye klabu bingwa mpaka sasa, kama ataendelea na performance yake hiyo hiyo basi hatobakia Yanga msimu ujao.
Nimeishia hapo uliposema kuwa PACOME ana miaka 26. 😂
Hata ukitafuta taarifa za umri wa Onyango utakutana na umri wa kijana mdogo tu tofauti na uhalisia. Yaleyale ya Mzize kuwa na miaka 19.
Wewe ni mama ake Pacome?Hata ukitafuta taarifa za umri wa Onyango utakutana na umri wa kijana mdogo tu tofauti na uhalisia. Yaleyale ya Mzize kuwa na miaka 19.
Njoo na hizo data zako/statistics msimu huu zinazomzungumzia Chama.Umeanza kumuona chama mwaka gani? Nijibu ili nijue nakujibuje isijekuwa kipindi cha Burudani kwa wote
Mimi ni kaka'ke na mama yake Pacome, yaani mjomba wake Pacome.Wewe ni mama ake Pacome?