Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Never on my dead body siweziHamia Simba kwanza ndiyo nikutajie.
WATAJITUTUMUA VIBAYA MNO.Simba mdomo utawaponza ngoja marudiano NBC ligi tutapiga 7 kocha ndo mwisho wa kazi
Ninyi ndio wale wa kumlinganisha Bellingham vs modric 🤣🤣🤣Njoo na hizo data zako/statistics msimu huu zinazomzungumzia Chama.
Ushasahau kama Pacoume aliisaidia asec msimu jana kufika nusu fainali shirikisho???Kwa nini msimu huu tu?kwani huyo Pacome misimu iliyopita hakuwa na kiwango cha kucheza Champions league?kama ni kweli basi ni msimu huu tu ndio amebahatisha kuwa kwenye form but kwa Chama aneshaweka class yake ambayo nyie utopolo mnaitumia kumfananisha na kila mchezaji wenu anapokuwa kwenye form,Chama ndiye SI unit ya kupima ubora wa mchezaji hapa Tanzania.
Na hii ndo inadhihirisha ulivyo mweupe kisoka...
Acha ujinga Zaha hajawai kucheza Roma na kutoitwa national team aligombana na kocha pia alisema yupo injury,mechi za qualifications alicheza zote.Kwasababu haujui mpira utashangaa walicheza qualifications wakati ni wenyeji.Team ya taifa unailinganisha na Zambia
Hivi mbumbumbu vicha vyenu vimejaa nini
Hajaitwa Wilfred Zaha alocheza Man u, crystal palace na sasa yuko Roma
Unashangaa kutoitwa Pacome
Sent using Jamii Forums mobile app
Never on my dead body siwezi
KISHA TUPE TOFAUTI KATI JWANENG GALAXY FC NA MASHUJAA.Nipe utofauti kati ya medeama na kmc au mtibwa na belouzidad
Jifunze hata Kiingereza kidogo, maneno mwili tu, tayari boko la aina yake.Simba ni sovereignity Club usiingilie mambo ya ndani ya Simba.
WABONGO BHANA [emoji16]Jifunze hata Kiingereza kidogo, maneno mwili tu, tayari boko la aina yake.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Akiwashie wapi anatafta attention tu.CHAMA KAWA CHAUMA.
WAMEKAA KIMYAAkiwashie wapi anatafta attention tu.
KWELI KABISA MKUUChama uwezi kumuona akiperfom kwenye mechi zenye intensity kubwa na wachezaji wanaojielewa, kwa aina ya uchezaji wake awawezi kumpa nafasi ata ya kumiliki mpira mtamuona Kama mtumishi hewa uwanjani, utamuona kwenye mechi za wakina jwaneng au Kagera sugar ndio maana ata mechi za watani wa jadi yanga uwa hanaga madhara maana anakutana na wachezaji wa kazi kazi wanamvuruga awampi nafasi ata ya kumeza mate na mpira wake ule wa konokono style!