NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #181
[emoji16]Ngoma, Kanute, che melone, Ayoub, ina maana sio wachezaji bora kwavile hawajaitwa timu ya taifa? Unatumia nini kufikiria?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16]Ngoma, Kanute, che melone, Ayoub, ina maana sio wachezaji bora kwavile hawajaitwa timu ya taifa? Unatumia nini kufikiria?
ANGALIA NA HIIUnataka statistics gani zaidi ya hii?mtafute Pacome hapo kama utamwona
Kwa nini msimu huu tu?kwani huyo Pacome misimu iliyopita hakuwa na kiwango cha kucheza Champions league?kama ni kweli basi ni msimu huu tu ndio amebahatisha kuwa kwenye form but kwa Chama aneshaweka class yake ambayo nyie utopolo mnaitumia kumfananisha na kila mchezaji wenu anapokuwa kwenye form,Chama ndiye SI unit ya kupima ubora wa mchezaji hapa Tanzania.ANGALIA NA HIIView attachment 2924191
Pacome katoka Asec Mimosa, na Asec hawakushiriki klabu bingwa msimu uliopita walikuwa kwenye shirikisho. Kuhusu form ya Pacome, ndiye aliyekuwa mchezaji bora wa ligi ya Ivory coast ndipo Yanga ikamchukua. Kwahiyo kwasasa anaendelea na form yake akiwa na timu yake mpya ya YangaKwa nini msimu huu tu?kwani huyo Pacome misimu iliyopita hakuwa na kiwango cha kucheza Champions league?kama ni kweli basi ni msimu huu tu ndio amebahatisha kuwa kwenye form
Kwa hiyo unataka tuzungumzie Mambo ya 1980, kipindi ambacho hawakucheza wote ?!Kwa nini msimu huu tu?kwani huyo Pacome misimu iliyopita hakuwa na kiwango cha kucheza Champions league?kama ni kweli basi ni msimu huu tu ndio amebahatisha kuwa kwenye form but kwa Chama aneshaweka class yake ambayo nyie utopolo mnaitumia kumfananisha na kila mchezaji wenu anapokuwa kwenye form,Chama ndiye SI unit ya kupima ubora wa mchezaji hapa Tanzania.
Unatoka nje ya mada,ligi ya Ivory Coast ni ya ngapi kwa ubora Afrika?Mbona Onana alikuwa MVP wa Rwanda?kwani Chama hajawahi kuwa MVP wa NBC?Chama yuko kwenye form tangu 2016 alipoipeleka Zesco nusu fainali klabu bingwa huku kwenye makundi akiwafunga Al Ahly goli mbili peke yake,aliwapeleka Simba makundi dhidi ya Nkana,robo fainali tatu na ni mfungaji bora namba 8 wa muda wote wa CAF,umesema vema Pacome yuko kwenye form lakini bado hajafika kwenye daraja (class) la Chama ambalo ili afike au akaribie anahitaji mwendelezo,Chama keshaweka class yake ambayo mnaitumia kumfananisha na kila mchezaji wa Yanga anayefanya vizuri,kuanzia Morrison,Feitoto,Aziz Ki hadi huyu Pacome but Chana ni yule yulePacome katoka Asec Mimosa, na Asec hawakushiriki klabu bingwa msimu uliopita walikuwa kwenye shirikisho. Kuhusu form ya Pacome, ndiye aliyekuwa mchezaji bora wa ligi ya Ivory coast ndipo Yanga ikamchukua. Kwahiyo kwasasa anaendelea na form yake akiwa na timu yake mpya ya Yanga
Wewe ndiye mgumu kuelewa,unafananisha vipi mchezaji aliyecheza nusu msimu na mchezaji aliyefanya vizuri misimu zaidi ya minne?ukielewa kutofautisha kati ya FORM na CLASS ndio utaelewa nazungumzia nini.George Mpole alipokuwa Geita Gold alichukua kiatu cha ufungaji bora dhidi ya Mayele,kwa akili yako hii unayotumia hapa utasema George Mpole ni bora kuliko Mayele?Kwa hiyo unataka tuzungumzie Mambo ya 1980, kipindi ambacho hawakucheza wote ?!
Saivi wapo ligi moja tufuate statistics hizo za ligi mbona mgumu kuelewa.
NDIYO KWA MSIMU ULE NI BORA LAZIMA AHESABIWE KAMA MCHEZAJI BORAWewe ndiye mgumu kuelewa,unafananisha vipi mchezaji aliyecheza nusu msimu na mchezaji aliyefanya vizuri misimu zaidi ya minne?ukielewa kutofautisha kati ya FORM na CLASS ndio utaelewa nazungumzia nini.George Mpole alipokuwa Geita Gold alichukua kiatu cha ufungaji bora dhidi ya Mayele,kwa akili yako hii unayotumia hapa utasema George Mpole ni bora kuliko Mayele?
NDIYO KWA MSIMU ULE NI BORA LAZIMA AHESABIWE KAMA MCHEZAJI BORA
Kwa akili yako baada ya msimu ule ukiambiwa usajili kati ya George Mpole na Mayele ungemsajili Mpole?Unajua yuko wapi sasa Mpole?Umesema vema kulingana na akili yako ila ukweli ni kwamba Mpole unaweza kumfananisha na Pacome kwa vile alikuwa na kiwango kizuri msimu mmoja,Mayele anafananishwa na Chama kwa kuwa alikuwa na mwendelezo misimu iliyofuata.NDIYO KWA MSIMU ULE NI BORA LAZIMA AHESABIWE KAMA MCHEZAJI BORA
NENDA KANYWE CHAI KWANZA MZEE.Kwa akili yako baada ya msimu ule ukiambiwa usajili kati ya George Mpole na Mayele ungemsajili Mpole?Unajua yuko wapi sasa Mpole?Umesema vema kulingana na akili yako ila ukweli ni kwamba Mpole unaweza kumfananisha na Pacome kwa vile alikuwa na kiwango kizuri msimu mmoja,Mayele anafananishwa na Chama kwa kuwa alikuwa na mwendelezo misimu iliyofuata.
Kwa hiyo kulingana na ushahidi wako unataka kusema kwa hivi Sasa Chama ni Bora kuliko PACOME?!Kwa akili yako baada ya msimu ule ukiambiwa usajili kati ya George Mpole na Mayele ungemsajili Mpole?Unajua yuko wapi sasa Mpole?Umesema vema kulingana na akili yako ila ukweli ni kwamba Mpole unaweza kumfananisha na Pacome kwa vile alikuwa na kiwango kizuri msimu mmoja,Mayele anafananishwa na Chama kwa kuwa alikuwa na mwendelezo misimu iliyofuata.
Umekimbia namna hii baada ya kushindwa hoja?Kumbe akili yako inakwambia ukipewa Mayele na Mpole unamchukua Mpole?NENDA KANYWE CHAI KWANZA MZEE.
Kwa hiyo wewe saivi ukipewa Chama na Pakome unachagua Chama?!Umekimbia namna hii baada ya kushindwa hoja?Kumbe akili yako inakwambia ukipewa Mayele na Mpole unamchukua Mpole?
Ntatumia muda mrefu kukuelewesha tofauti kati ya FORM na CLASS iwapo akili yako inakwambia George Mpole ni bora kuliko Mayele kwa sababu alitwaa kiatu cha dhahabu.Hapo mmoja yuko kwenye form,mwingine ameshaweka clasa yakeKwa hiyo kulingana na ushahidi wako unataka kusema kwa hivi Sasa Chama ni Bora kuliko PACOME?!
Mie sina akili kama yakoUmekimbia namna hii baada ya kushindwa hoja?Kumbe akili yako inakwambia ukipewa Mayele na Mpole unamchukua Mpole?
Hahahaa ikiwa we ni mfia jangwani huwezi kumjua Kibu de mkandaji wa jf.Huyo mkandaji ndio nan humu ?
ANGALIA SKILLS ZA ZIZU PAKOMENtatumia muda mrefu kukuelewesha tofauti kati ya FORM na CLASS iwapo akili yako inakwambia George Mpole ni bora kuliko Mayele kwa sababu alitwaa kiatu cha dhahabu.Hapo mmoja yuko kwenye form,mwingine ameshaweka clasa yake
ANGALIA SKILLS ZA ZIZU PAKOMENtatumia muda mrefu kukuelewesha tofauti kati ya FORM na CLASS iwapo akili yako inakwambia George Mpole ni bora kuliko Mayele kwa sababu alitwaa kiatu cha dhahabu.Hapo mmoja yuko kwenye form,mwingine ameshaweka clasa yake
ANGALIA SKILLS ZA ZIZU PAKOME
View: https://www.facebook.com/100064852174593/videos/785926392863257/?mibextid=NTRm0r7WZyOdZZsz
Ni nani mtajeHahahaa ikiwa we ni mfia jangwani huwezi kumjua Kibu de mkandaji wa jf.