Mnapata wapi nguvu za kumfananisha mchezaji anayekiwasha michezo ya nje na ndani na huyo anayeonekana kwa Mkapa tu?

SIMBA NDIYO HULETA HIYO MAADA MBONA IPO WAZI KUWA PACOME NI BORA KULIKO CHAMA
Makolo huwezi waambia kitu kuhusu Chama.

Kwao Chama ni alfa na omega.

Hata Benchika ni mdogo kuliko Chama.

Kocha yoyote anayekuja ukokoni anapewa maagizo ya kutumia mfumo utakaoingia kwenye mfumo wa Chama.

Watu aina hii ukiwaambia Pacome ni bora kuliko chama hawawezi kukuelewa.
 
NAKAZIA
 
Kwanini baada ya mechi na jwaneng galaxy mashabiki wa simba ndio watu waanze kumfananisha chama na Pacome?.

Pacome zouzoua ana goli 3 mpaka sasa dhidi ya Al Ahly,Medeama kwenye mashindano ya CAFCL na ame assist kwenye mechi 1 dhidi ya CR Belouzdad huku akiwa man of the match mara mbili.

Chama ana goli moja na ana assist moja zote dhidi ya Jwaneng Galaxy..

Mchezaji mkubwa kama ilivyokua kwa Ronaldo na Messi huwa hawachagui mechi za ku perfom, Mchezaji mkubwa ana perfom kwenye mechi yoyote ile timu ikimuhitaji.

Hata kwenye ile 'Tabulele' sote tuliona uwezo wao wote na ikifikia kipindi chama na baadhi ya wachezaji wenzake walisimamishwa ikidaiwa ni 'poor performance' kwenye ile mechi na viongozi wakaenda mbali kua wamehujumiwa.
 
NAKAZIA MKUU
WENGI WANATUMIA HISIA ZA KISHABIKI HAWAUTAKI UKWELI
 
Thread ifumgwe
 
IMG-20240303-WA0005.jpg
 
Jamaa yangu unaelezea kama umekunywa supu ya maharage subiri kuvimbiwa tu. Pakome kwa chama bado sana labda apewe misimu mingine mitatu....
 
Pole sana jombaa
Njoo na statistics zako siyo unarusha maneno tu.
 
Wewe boya kweli, unpeleka mkono kwenye mavi halafu unauliza nini hiki?

Mchezaji bora lazima aitwe timu ya taifa lake
CHE MALON SIYO BORA?;
MBONA HAKUITWA
KUITWA TIMU YA TAIFA SIYO KWAMBA WEWE NI BORA MZEE??
ZAMBIA NA IVORY COAST NI VITU VIWILI TOFUTI KWA WAKATI HUU.
 
Unataka statistics gani zaidi ya hii?mtafute Pacome hapo kama utamwona
Angalia idadi ya mechi kwa chama, Pacome huu ndio msimu wake wa kwanza kucheza hatua ya makundi klabu bingwa. Mpaka sasa kwa msimu huu kamuacha mbali Chama kwa statistics za msimu huu.
Pacome magoli 3 assist 2
Chama goli 1 assist 1
 
Tatizo yanga hawaelewi kitu kimoja huyo blich yuko form katka pick kama wachezaji wote wa yanga walivyo form lakin tukizungumzia level ya chama ana brain ya Mpira kuliko mchezaji yeyote NBC pL
 
Back
Top Bottom