Mnapata wapi nguvu za kumfananisha mchezaji anayekiwasha michezo ya nje na ndani na huyo anayeonekana kwa Mkapa tu?

Mnapata wapi nguvu za kumfananisha mchezaji anayekiwasha michezo ya nje na ndani na huyo anayeonekana kwa Mkapa tu?

Waliokuwa wanasema Chama kaisha wengi wao ni utopolo, ingawa haohao Kila siku wanasema kasajiliwa yanga Ila haichezei labda yupo Simba kwa mkopo. Okra mliyekuwa mnamponda alivyoachwa mkaenda kumsajili tushagundua janja zenu mnamponda Chama ili mpate utahisi wa kumsajili.
Mtaendelea kusajili Hadi wachezaji wa benchi Simba Kama mlivyomsajili Mkude .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepiga kwenye mshonoo, wallah
 
Pacome na Maxi wanakupa kila kitu uwanjani, watafunga, wataassist, watakaba, watakacheza 8,7,11 na ata eneo la namba 10 utawaona.

Mwisho, ni mapafu ya farasi, wanaweza wakacheza 90 bila kuchoka kwa kiwango kilekile.
Kwa Al ahly mbona hawakufanya hayo yotee?
 
kilaza huelewi...tuliifunga timu ya chama na yeye chama anayezungumzwa ni bora sana akiwemo,simba iliwahi kuifunga yanga 6-0 sijui lolote zaidi ya hilo kuhusu hiyo game,ila najua kila kitu kuhusu 5-1 na chama akiwemo
5 kwa 0 2012 wee hukuwepooo?
 
Sijasema kuwa Chama ni bora kuliko Pacome.
Soma uelewe,Chama amekua katika game muda mrefu hivyo keshaweka rekodi huwezi fananisha na Pacome ambaye kaanza ball miaka hii inayohesabika.
Ila muda unavyokwenda na yeye ataweka rekodi zake.
Unakataa nn na unakubalii nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni mjinga tu ndo anayeweza kumfananisha Pacome na Chama.

Hata mashabiki wenyewe wa simba ukiwaekea kati ya Pacome na Chama wachague mmoja ki uhalisia hawawezi kumchagua Chama.

Pacome kila mechi anapafomu yupo katika kiwango bora kabisa.

Chama baada ya mechi ya jana ndo wanaanza kumfananisha na Pacome, kwanini isiwe mechi za nyuma?

Kwasasa huwezi kumfaninisha Chama na Pacome.

Ni kumuonea tu Chama.

Mengine yatabaki kuwa ushabiki
Watu kibao walifananishwa na TRIPLE C, walipita wakapotea lakin TRIPLE C akaendelea kubaki huku akitamba
Yanayotokea sasa sishangai kwani ni sehemu ya yale yaliyotokea na kusahaulika
 
Mimi ninachofahamu mashabiki wengi wa simba ni mbumbumbu, na hawajielewi! Yaani leo timu ikifungwa tu au kutoa sare, utawasikia wakipiga makelele ya kumkataa Chama, Matola, Mangungu na Try Again!

Halafu kesho ikitokea timu ikashinda, wanahamia kwenye kuwasifia hao watu! Na siyo kuwakataa.
Teseka taratibu shoga angu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaumia ukiwa wapiiii?
 
Watu kibao walifananishwa na TRIPLE C, walipita wakapotea lakin TRIPLE C akaendelea kubaki huku akitamba
Yanayotokea sasa sishangai kwani ni sehemu ya yale yaliyotokea na kusahaulika
Hakuna mwanayanga anayemfananisha Chama na Pacome.

Ni mbumbumbu wa Simba ndo wamekomalia kusema Chama ni bora kuliko Pacome.
 
C
Hakuna mwanayanga anayemfananisha Chama na Pacome.

Ni mbumbumbu wa Simba ndo wamekomalia kusema Chama ni bora kuliko Pacome.
Chama yupo ktk daraja lake kitambo walimbukeni wa michuano ndo hutafuta maada ili waongelewe
 
C

Chama yupo ktk daraja lake kitambo walimbukeni wa michuano ndo hutafuta maada ili waongelewe
Tunajua roho zinawauma sana kuona mungu wenu chama anazidiwa uwezo na Pacome.

Hakuna jinsi ndo mpira huo vumilieni tu.
 
Tumechoka kwakweli, tumpe muda huyu CHAMA nae apumzike, yaani kila mchezaji akija kipimo cha ubora wake ni chama, hakuna wachezaji wengine? Tunamchosha mtoto wa watu ase

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
SIMBA NDIYO HULETA HIYO MAADA MBONA IPO WAZI KUWA PACOME NI BORA KULIKO CHAMA
 
Back
Top Bottom