Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mimi ninachofahamu mashabiki wengi wa simba ni mbumbumbu, na hawajielewi! Yaani leo timu ikifungwa tu au kutoa sare, utawasikia wakipiga makelele ya kumkataa Chama, Matola, Mangungu na Try Again!
Halafu kesho ikitokea timu ikashinda, wanahamia kwenye kuwasifia hao watu! Na siyo kuwakataa.
Halafu kesho ikitokea timu ikashinda, wanahamia kwenye kuwasifia hao watu! Na siyo kuwakataa.