inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
We mbuzi kweli..hivi huko mtaani huwa unaelewa chochote!?Jitambue. Zambia kashachukua kombe fainal na ivory coast ya kina didie drogba na kina yaya toule .au umezaliwa juzi nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mbuzi kweli..hivi huko mtaani huwa unaelewa chochote!?Jitambue. Zambia kashachukua kombe fainal na ivory coast ya kina didie drogba na kina yaya toule .au umezaliwa juzi nini?
Pacome ni mtoto kwa Chama, nenda kampambanishe na Fei Toto huyo ndiye saizi yake Ila sio Chama.Kiuchezaji Pacoume ana vingi vya kukupa kuliko Chama.
Chama mmoja pacome 100ULIPASWA KUJA NA HOJA ZAKO EITHA ZA KUKUBALI AU KUKATAA
Inategemea ni taifa lipi.UNATAKA KUSEMA KUWA KUITWA TIMU YA TAIFA NDIYO KIGEZO KIKUBWA SANA CHA UBORA.
Naomba za wote tangu chama aanze kucheza tpl na pacomeUngakua muungwana ungetoa za Chama halafu ukaomba za Pacome.
Hata ya kitandani kwako pia anaperform vizuri?Hoja nyingi zipo kiushabiki.
Ukitaka kuona kiwango Cha Chama team pinzani iwe na kiungo mbovu na defense mbovu. Hii hua haitokei pale Simba inapicheza na al ahly au team zngine kubwa, Cha kistaajabisha kibu ndo huonekana kuliko Chama .
Kwa kumalizia tu Chama ana match zake .
UKIACHA KUCHAMBIA UPUPU MKUU AKILI YAKO ITAKUA SAWA.Huyu zuwena wenu ameachwa mbali na LADARK CHASAMBI
KUONGEA BILA DATA NI SAWA NA UMBEA MWINGINE TU UNAOPIGWA NA AKINA MAMA UPATU.Chama mmoja pacome 100
Unataka kusema kwamba mmeshalipa lile deni la miongo na miongo mnalodaiwa na mnyama?...sisi tuliifunga timu ya chama 5 na yeye akiwemo
Ndio kitu gani hii mkuu?KONYAGI
MCHEZAJI MPYA WA KOLOZDAD MKUU.Ndio kitu gani hii mkuu?
nimekuuliza pacome ameifanyia nini asec mimosa.na chama kaifanyia nini simba umejibu?KUONGEA BILA DATA NI SAWA NA UMBEA MWINGINE TU UNAOPIGWA NA AKINA MAMA UPATU.
Pacome na Maxi wanakupa kila kitu uwanjani, watafunga, wataassist, watakaba, watakacheza 8,7,11 na ata eneo la namba 10 utawaona.Kabisa Chama kwa sasa asubiri ndo maana Yanga baada ya kumpata Pacome wamesahau kuhusu chama.
MKUU UMEONGEA kiufundi zaidi Hawa jamaa wanakichafua mpaka namba 6 wanakaba hii ni tofauti na Chama mpaka mashabiki walalamike kuwa hakabi.Pacome na Maxi wanakupa kila kitu uwanjani, watafunga, wataassist, watakaba, watakacheza 8,7,11 na ata eneo la namba 10 utawaona.
Mwisho, ni mapafu ya farasi, wanaweza wakacheza 90 bila kuchoka kwa kiwango kilekile.
Wanaitwa kina Musonda nayo ni timu ya taifa hiyo.Team ya taifa unailinganisha na Zambia
Hivi mbumbumbu vicha vyenu vimejaa nini
Hajaitwa Wilfred Zaha alocheza Man u, crystal palace na sasa yuko Roma
Unashangaa kutoitwa Pacome
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16]Wanaitwa kina Musonda nayo ni timu ya taifa hiyo.
kilaza huelewi...tuliifunga timu ya chama na yeye chama anayezungumzwa ni bora sana akiwemo,simba iliwahi kuifunga yanga 6-0 sijui lolote zaidi ya hilo kuhusu hiyo game,ila najua kila kitu kuhusu 5-1 na chama akiwemoUnataka kusema kwamba mmeshalipa lile deni la miongo na miongo mnalodaiwa na mnyama?
Hebu watangazie chura wenzio sasa kwamba zile 6-0 mmezilipa kwa 5-1 Ila bado mna deni sugu 😂😂
TENA WAKAJA KUSEMA KUWA KAUZA GEMU BAADA YA KUPOTEZWA WACHEZAJI MAKINIkilaza huelewi...tuliifunga timu ya chama na yeye chama anayezungumzwa ni bora sana akiwemo,simba iliwahi kuifunga yanga 6-0 sijui lolote zaidi ya hilo kuhusu hiyo game,ila najua kila kitu kuhusu 5-1 na chama akiwemo