NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
MKUU UMEONGEA KIMPIRA SANA [emoji2935]Yes kwa Inonga huko sahihi kabisa.
Ana kiwango bora kabisa kakiwasha sana mataifa ya Afrika na kaibeba sana kongo.
Kimpira mtu akibisha kiwango cha Inonga atakuwa anaendekeza ushabiki tu.
Ila sio kwa Chama.
Huyu hapana hana consistency kabisa labda ni kwa sababu ya umri kumtupa mkono pia.
Ni mchezaji wa mechi ndogo tena sio zote.
Huwezi kumfananisha na Pacome kwa sasa ambaye anakupa ubora usiobadilika (consistency)kwa kila mechi iwe ndogo au kubwa.