Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungakua muungwana ungetoa za Chama halafu ukaomba za Pacome.
Yaaani pacome ana magoli matatu chama ana goli moja tuuu pekee tangu hatua ya makundi ianze kama watajumlisha mechi za awali pacome alishinda goli na asas kwahio ana magoli 4 huku chama alishinda goli 1 hivyo ana magoli 3
ATAKUAMBIA WALIKIWASHA NA TAIFA STARS [emoji16]Unalinganisha ivory coast na Zambia!?..halafu Zambia wanekiwasha wapi?!
UKIZUNGUMZUMZIA HATUA ZA AWALI UNATAKA NA SISI TUANZE KUHESABU MAGOLI YA ZILE TANO TANO?!HHatua za awali chama ana goli 2 dhidi ya Power Dynamo ugenini
Ninalinganisha Chama na mpaka bleach.Unalinganisha ivory coast na Zambia!?..halafu Zambia wanekiwasha wapi?!
HAWEZI KUKUJIBU LAZIMA ATAKIMBIA.Yaaani pacome ana magoli matatu chama ana goli moja tuuu pekee tangu hatua ya makundi ianze kama watajumlisha mechi za awali pacome alishinda goli na asas kwahio ana magoli 4 huku chama alishinda goli 1 hivyo ana magoli 3
MKUU ACHA KONYAGI KUCHANGANYA NA BANGENinalinganisha Chama na mpaka bleach.
Chama alikiwasha akiiwakilisha timu yake ya taifa huko kwa kombe la CAFCC
Mpaka bleach hajawahi kuiwakilisha timu yake hata kwa friends match tu.
Huoni utofauti wao mpaka hapo?
Chama peke yake ni sawa na wapaka bleach 10. Tambua hilo bwashee.
Naona Chama kawakeraa hadi mkamletea mpaka bleach 😂😂asingetambuliwa na nchi yake asingeitwa,pale zambia pacome ndo angekuwa tegemezi wa taifa ila ila chama cha timu ndogo kakaa benchi mpk tako likaota sugu
Nimemjibu huyo mtu aliyesema ana goli moja. Nimemrekebisha tu haikuwa hoja yangu.UKIZUNGUMZUMZIA HATUA ZA AWALI UNATAKA NA SISI TUANZE KUHESABU MAGOLI YA ZILE TANO TANO?!
DAH UNZINGUA SANA HUTAKI KUKUBALI KUWA PACOME NI BORA KULIKO CHAMA.
chama anawakera nyinyi ili mumsujudie...sisi tuliifunga timu ya chama 5 na yeye akiwemoNaona Chama kawakeraa hadi mkamletea mpaka bleach 😂😂
Unaweweseka tu ujui pa kushika.HAKUNA ANAEWAINGILIA NA NDIYO MAANA WALIPOMUOMBA MSAMAHA CHAMA HATUKUINGILIA
ULIPASWA KUJA NA HOJA ZAKO EITHA ZA KUKUBALI AU KUKATAAPacome ameisaidia nini asec mimosa.
Na chama ameisaidia nini simba?
kwamba huko alipokuwa club bingwa hakuwa nzuri ndio maana sio vizuri tupaongelee? kwamba kubaya huko tukuache? kwamba past ya pacome club bingwa si nzuri kwahiyo hicho kipande kisiwepo kwenye movie. alikuwa hajajipata?UKIZUNGUMZUMZIA HATUA ZA AWALI UNATAKA NA SISI TUANZE KUHESABU MAGOLI YA ZILE TANO TANO?!
DAH UNZINGUA SANA HUTAKI KUKUBALI KUWA PACOME NI BORA KULIKO CHAMA.
Chukua like hiyo...Namalizia mimi Simba damu ila kwa kikosi na fomu ya sasa ya Yanga mchezaji pekee anayeweza kucheza kikosi cha kwanza cha Yanga ni Inonga waliobaki hakuna wa kucheza pale nafasi zao zina watu wa kazi.
Ilimaanisha AFCON Ila katika uchapaji ikawa CAFCC, ni type errors tu ndio imeingiza hiyo CAFCC.CAFCC
Jitambue. Zambia kashachukua kombe fainal na ivory coast ya kina didie drogba na kina yaya toule .au umezaliwa juzi nini?Unalinganisha ivory coast na Zambia!?..halafu Zambia wanekiwasha wapi?!