NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #141
NAKAZIANakubali kuwa Chama ni mchezaji wa muda mrefu na kaweka rekodi ila nakataa kuwa Chama anajua kuliko Pacoume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIANakubali kuwa Chama ni mchezaji wa muda mrefu na kaweka rekodi ila nakataa kuwa Chama anajua kuliko Pacoume.
Makolo huwezi waambia kitu kuhusu Chama.SIMBA NDIYO HULETA HIYO MAADA MBONA IPO WAZI KUWA PACOME NI BORA KULIKO CHAMA
NAKAZIAMakolo huwezi waambia kitu kuhusu Chama.
Kwao Chama ni alfa na omega.
Hata Benchika ni mdogo kuliko Chama.
Kocha yoyote anayekuja ukokoni anapewa maagizo ya kutumia mfumo utakaoingia kwenye mfumo wa Chama.
Watu aina hii ukiwaambia Pacome ni bora kuliko chama hawawezi kukuelewa.
NAKAZIA MKUUKwanini baada ya mechi na jwaneng galaxy mashabiki wa simba ndio watu waanze kumfananisha chama na Pacome?.
Pacome zouzoua ana goli 3 mpaka sasa dhidi ya Al Ahly,Medeama kwenye mashindano ya CAFCL na ame assist kwenye mechi 1 dhidi ya CR Belouzdad huku akiwa man of the match mara mbili.
Chama ana goli moja na ana assist moja zote dhidi ya Jwaneng Galaxy..
Mchezaji mkubwa kama ilivyokua kwa Ronaldo na Messi huwa hawachagui mechi za ku perfom, Mchezaji mkubwa ana perfom kwenye mechi yoyote ile timu ikimuhitaji.
Hata kwenye ile 'Tabulele' sote tuliona uwezo wao wote na ikifikia kipindi chama na baadhi ya wachezaji wenzake walisimamishwa ikidaiwa ni 'poor performance' kwenye ile mechi na viongozi wakaenda mbali kua wamehujumiwa.
Thread ifumgweKwanini baada ya mechi na jwaneng galaxy mashabiki wa simba ndio watu waanze kumfananisha chama na Pacome?.
Pacome zouzoua ana goli 3 mpaka sasa dhidi ya Al Ahly,Medeama kwenye mashindano ya CAFCL na ame assist kwenye mechi 1 dhidi ya CR Belouzdad huku akiwa man of the match mara mbili.
Chama ana goli moja na ana assist moja zote dhidi ya Jwaneng Galaxy..
Mchezaji mkubwa kama ilivyokua kwa Ronaldo na Messi huwa hawachagui mechi za ku perfom, Mchezaji mkubwa ana perfom kwenye mechi yoyote ile timu ikimuhitaji.
Hata kwenye ile 'Tabulele' sote tuliona uwezo wao wote na ikifikia kipindi chama na baadhi ya wachezaji wenzake walisimamishwa ikidaiwa ni 'poor performance' kwenye ile mechi na viongozi wakaenda mbali kua wamehujumiwa.
NAKAZIAThread ifumgwe
Hapa jf tunaye professor Nabi, yupo pia Kibu de mkandaji, yupo Chama, yupo pia Fei toto na Pacome nkMkuu sikutegemea hii iwepo kwenye akili yako
Huyo mkandaji ndio nan humu ?Hapa jf tunaye professor Nabi, yupo pia Kibu de mkandaji, yupo Chama, yupo pia Fei toto na Pacome nk
Na ndio maana nilitaka kujua huyu babu NALIA NGWENA naongelea pacome yupi.
Kuna shida kuuliza swali kama hilo?
Pole sana jombaaJamaa yangu unaelezea kama umekunywa supu ya maharage subiri kuvimbiwa tu. Pakome kwa chama bado sana labda apewe misimu mingine mitatu....
Kalewa supu ya Utumbo huyo ACHANA naeHuyo mkandaji ndio nan humu ?
Wenzio Wanakuja na statistics
Unataka statistics gani zaidi ya hii?mtafute Pacome hapo kama utamwonaWenzio Wanakuja na statistics
Wewe boya kweli, unpeleka mkono kwenye mavi halafu unauliza nini hiki?UNATAKA KUSEMA KUWA KUITWA TIMU YA TAIFA NDIYO KIGEZO KIKUBWA SANA CHA UBORA.
CHE MALON SIYO BORA?;Wewe boya kweli, unpeleka mkono kwenye mavi halafu unauliza nini hiki?
Mchezaji bora lazima aitwe timu ya taifa lake
Andika picha hazifunguki.Unataka statistics gani zaidi ya hii?mtafute Pacome hapo kama utamwona
Angalia idadi ya mechi kwa chama, Pacome huu ndio msimu wake wa kwanza kucheza hatua ya makundi klabu bingwa. Mpaka sasa kwa msimu huu kamuacha mbali Chama kwa statistics za msimu huu.Unataka statistics gani zaidi ya hii?mtafute Pacome hapo kama utamwona