Mnapata wapi nguvu za kumfananisha mchezaji anayekiwasha michezo ya nje na ndani na huyo anayeonekana kwa Mkapa tu?

Mnapata wapi nguvu za kumfananisha mchezaji anayekiwasha michezo ya nje na ndani na huyo anayeonekana kwa Mkapa tu?

Kwa nini msimu huu tu?kwani huyo Pacome misimu iliyopita hakuwa na kiwango cha kucheza Champions league?kama ni kweli basi ni msimu huu tu ndio amebahatisha kuwa kwenye form but kwa Chama aneshaweka class yake ambayo nyie utopolo mnaitumia kumfananisha na kila mchezaji wenu anapokuwa kwenye form,Chama ndiye SI unit ya kupima ubora wa mchezaji hapa Tanzania.
Ushasahau kama Pacoume aliisaidia asec msimu jana kufika nusu fainali shirikisho???
 
Team ya taifa unailinganisha na Zambia

Hivi mbumbumbu vicha vyenu vimejaa nini

Hajaitwa Wilfred Zaha alocheza Man u, crystal palace na sasa yuko Roma

Unashangaa kutoitwa Pacome

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga Zaha hajawai kucheza Roma na kutoitwa national team aligombana na kocha pia alisema yupo injury,mechi za qualifications alicheza zote.Kwasababu haujui mpira utashangaa walicheza qualifications wakati ni wenyeji.
 
Nipe utofauti kati ya medeama na kmc au mtibwa na belouzidad
 
Chama uwezi kumuona akiperfom kwenye mechi zenye intensity kubwa na wachezaji wanaojielewa, kwa aina ya uchezaji wake awawezi kumpa nafasi ata ya kumiliki mpira mtamuona Kama mtumishi hewa uwanjani, utamuona kwenye mechi za wakina jwaneng au Kagera sugar ndio maana ata mechi za watani wa jadi yanga uwa hanaga madhara maana anakutana na wachezaji wa kazi kazi wanamvuruga awampi nafasi ata ya kumeza mate na mpira wake ule wa konokono style!
 
KWELI KABISA MKUU
 
Back
Top Bottom