Mnapata wapi nguvu za kumfananisha mchezaji anayekiwasha michezo ya nje na ndani na huyo anayeonekana kwa Mkapa tu?

Naona zwazwa limewazuzua sana manyago

We are tired of your threads about one nasty fluke
 
Na mwisho wa siku anazeekea Simba. Yaani mchezaji awe na sifa zote hizo halafu hata tetesi za kutakiwa na timu kubwa hakuna. Huyo ni mchezaji bora wa Simba ila kwa soka la Africa hana maajabu.
 
Na mwisho wa siku anazeekea Simba. Yaani mchezaji awe na sifa zote hizo halafu hata tetesi za kutakiwa na timu kubwa hakuna. Huyo ni mchezaji bora wa Simba ila kwa soka la Africa hana maajabu.
Alikwenda Berkane maisha yakamshinda !!
 
Na mwisho wa siku anazeekea Simba. Yaani mchezaji awe na sifa zote hizo halafu hata tetesi za kutakiwa na timu kubwa hakuna. Huyo ni mchezaji bora wa Simba ila kwa soka la Africa hana maajabu.
Simba ni timu kubwa kuliko zote East Afrika,kumbuka ni timu ya 5 kwa ubora Afrika.
 
Simba ni timu kubwa kuliko zote East Afrika,kumbuka ni timu ya 5 kwa ubora Afrika.
Kuna timu kubwa halafu kuna timu zenye rank kubwa. Simba sio timu kubwa kwasababu haina kombe lolote la CAF. kwa East Africa siwezi kukataa ni timu kubwa. Kuna timu usajili wa mchezaji tu ni bajeti ya Simba. Mshahara wa mchezaji ni mara tano ya mshahara anaolipwa na Simba.

Lakini zaidi ya yote hatusikii hata alitakiwa na timu fulani tokea kigogo fulani ila Chama kakakataa. Kila dirisha la usajili havumi zaidi kuvumishwa na Yanga pekee. Ukiachana na kutohitajika na vilabu vikubwa, kila kocha anayekuja anaona kama mchezaji asiyefit mpaka mashabiki mnaingilia kati kumpigania Chama.
 
Kama hata hujui kuwa alishauzwa kwa bei kubwa RS Berkane na ndiye miongoni mwa wachezaji wanaolipwa hela nyingi nchini mie siwezi kukusaidia.Kwa hiyo unataka kusema wachezaji wa Yanga kama akina Aucho,Baca na Pacome ni wachezaji wabovu kwa sababu hakuna timu kubwa Afrika imewataka?
 
Aliuzwa akafeli akarudi bongo, au alivyouzwa Berkane alienda Mamelod? Huyo ni wa hapa hapa bongo. Jogoo wa shamba hawiki mjini
 
Pacome kwa anachokifanya kwenye klabu bingwa mpaka sasa, kama ataendelea na performance yake hiyo hiyo basi hatobakia Yanga msimu ujao.
 
Nimeishia hapo uliposema kuwa PACOME ana miaka 26. 😂
 
Pacome kwa anachokifanya kwenye klabu bingwa mpaka sasa, kama ataendelea na performance yake hiyo hiyo basi hatobakia Yanga msimu ujao.
NAKAZIA HIYO YOTE KWA KUA ANA KIEANGO BORA SANA AISEE
 
Umeanza kumuona chama mwaka gani? Nijibu ili nijue nakujibuje isijekuwa kipindi cha Burudani kwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…