Mnapata wapi ujasiri wa kuwapigia magoti wachumba zenu?

Wewe nawe kumbe kibuyu 🤣🤣🤣
Nyie ndo mliokuwa mnarusha mawe kwenye bati na geti ili kusumbua watu???
🤣🤣🤣yaani nilikuwa zaidi ya kibuyu,
Hakuna biscuit sijui chocolate nilikuwa sijui bei. Bakery za ubungo zote zile nilimaliza kisa natafuta cupcakes. Mapenzi yaliniendesha sana jamani. Kwa niliyoyapitia naona kupiga Magoti ni kitu kidogo sana.
 
Pole sana!! Mwendo umeumaliza, imani umeilinda 😂😂😂
 
Back
Top Bottom