Mnapata wapi ujasiri wa kuwapigia magoti wachumba zenu?

Mnapata wapi ujasiri wa kuwapigia magoti wachumba zenu?

Bado hujapenda brother, enzi zangu, nimepiga sana route za bunju to kimara kubembeleza penzi. Kesha sana kwenye mageti ya wenyewe. Kuna huyo mmoja nimemtorosha sana shule pale Alpha ili tukale bata beach. Nilikuwa nipo tayari kulala hata sero kisa mapenzi. Sasa magoti si kitu kidogo sana jamani mbele ya mapenzi...???
Kama hutumii akili na kuongozwa na hisia ndo unafanya hivo.
 
Back
Top Bottom